Hivi ndivyo Mwenyekiti wa UVCCM taifa anavyovuna wanachama vyuo vikuu!

Kumbe hata walioko vyuko vikuu awajitambui na hawajui hata haki zao.


Elimu wapatayo haiwaelimishi.shame.
 
mkuu acha uongo wa dhahiri mimi nasoma ifm nina marafiki udsm udom sua ardhi na cbe hawajawahi kuniambia wala mimi kushuhudia ilo jambo wasomi wengi especial wanavyuo tumeridhiswa na utendaji kazi wa serikali ya awamu ya tano na sikufichi ccm inakubalika sana
liongo wewe na muda si mrefu hizi kadi mtazikuta chadema
 
Hapa tatizo sio Kheri,tatizo ni wanafunzi wenyewe wapuuzi.kama wasomi wanafanyiwa hivyo wasiosoma je
Mkuu ukijua sababu kwanini viongozi wengi wa hiyo uvccm wanaishia kwenda mapumzikoni Mombasa ndio utajua kwa nini wale laini laini wanahadaika haraka na uongo wa ccm
 
mkuu acha uongo wa dhahiri mimi nasoma ifm nina marafiki udsm udom sua ardhi na cbe hawajawahi kuniambia wala mimi kushuhudia ilo jambo wasomi wengi especial wanavyuo tumeridhiswa na utendaji kazi wa serikali ya awamu ya tano na sikufichi ccm inakubalika sana
Nyumbu wewe!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Iko hivi;
Kabla ya mwenyekiti wa UVCCM taifa ndugu Heri James kutembelea chuo kikuu, viongozi wa CCM wa matawi ya kila chuo huandaa karatasi na kuipitisha kila hosteli, kila faculty au darasa na kuandikisha majina kwa kuwaambia kuwa watawagaia kadi bure ili ziwasaidie kupata kazi serikalini baadae.

Kutokana maisha ya sasa yalivyo, mwanafunzi wasio na mikopo wanahadaiwa kuwa watasaidiwa kupatiwa mikopo kwa urahisi na majina yao yatashulikiwa kupata haraka, pia wapo wanaohadaiwa kuwa ukiwa na kadi ya CCM unaweza kuteuliwa hata kuwa katibu tawala au mkurugenzi wa halmashauri.

Masikini watoto wa watu wakisikia hivyo wanajipanga mistari kujiandikisha ili wapate kadi za CCM, ni kweli kabisa kuwa hilo linafanyika.
Hapo wanachezewa segere tu. Mimi mwenyewe miaka hiyo nilishafuatwa na kupatiwa kadi yao eti ukimaliza utasaidiwa kupata kazi. Nyooooo! Subutu, kazi bongo...... Niliamua kupigana kivyangu baada ya kuona kiongozi aliyekuwa mstari wa mbele tena roommate anapiga poyoyo tu after graduation.... mara Subaru nimeshaongea na huyu..... Mara kuna mtu tumempa majina, yaani..... Hovyo. Be informed, hakuna atakayekutafutia kazi. Hapo sana sana wanatafuta wapigakura tu wakale kwa migongo yenu. Mark my words
 
Back
Top Bottom