Hivi ndivyo kodi zenu zinavyotumika: William Malecela anatalii na gari ya DC Muro

Jerry Muro naomba uelewe kuwa uchunguzi rasmi wa wewe kumpa Lemutuz gari la ofisi kutoka KIA hadi Safari Lodge unaendelea na pole sana kwani litakalokukuta hata wewe unalifahamu. Tatizo uelewa mdogo.

Sasa ona umefanya kosa waziwazi na linaenda kukugharimu. Pole sana kwa ujuha!

Na uliyempa gari ndiye kakupeleka shimon kutokana na utoto utoto wake. Kila kitu siyo kutafuta kiki! Any way tunasema za mwizi zimefika.

"umemu hamble na yeye akaku hamble down you know" ha! ha! ha!

Aliyetoa gari ya serikali (Jinga Muro) na aliyepewa gari (pambaf lemutz) wote ni matoto yasiyobalehe. Jiwe, pitisha rungu haraka.
 
Jerry Muro naomba uelewe kuwa uchunguzi rasmi wa wewe kumpa Lemutuz gari la ofisi kutoka KIA hadi Safari Lodge unaendelea na pole sana kwani litakalokukuta hata wewe unalifahamu. Tatizo uelewa mdogo.

Sasa ona umefanya kosa waziwazi na linaenda kukugharimu. Pole sana kwa ujuha!

Na uliyempa gari ndiye kakupeleka shimon kutokana na utoto utoto wake. Kila kitu siyo kutafuta kiki! Any way tunasema za mwizi zimefika.

"umemu hamble na yeye akaku hamble down you know" ha! ha! ha!
Le Mutuz na Makonda ndio walifanya mipango ili Mzee wa Pingu Jerry Murro awe DC , sasa ndio akaamua kuwakirimu gari la serikali
 
Uwezi jua kamwajiri kama dereva wake au kampa lifti.
Hii inaonyesha how wabongo tunavyochongeana
 
Enzi za Nyerere angevumilia haya?watu wanakosa huduma ya ambulance wanafia vijijini huku juha mmoja anatamba na gari ya serikali.Ndege huwa zina Shuttle toka kia mpaka arusha mjini,angetumia usafiri huo
 
Daaaaahhh,,,,,hyo si picha tu mjombaaa,,,,,yan mtu kapiga picha kaegemea gari lakn ww tayr umeshaona kama ametembelea!!??? Kama walikua wote na jerry muro??
Umesoma hiyo caption ya picha au umeamua kubisha tu...?? TUMIENI AKILI KUFIKRI... VIUNGO VINGINE VINA KAZI ZAKE..
 
Back
Top Bottom