Hivi ndivyo jinsi majirani zetu wanavyotuongelea kuhusu Corona

Tuna vifaa vya kutosha vya kupimia? Tumeshapima wangapi? Inawezekana hao 20 is not an accurate number.
Duh inashangaza kuona watu wasivyojitambua
Hii Corona itatuangamiza vibaya
Dunia nzima wanateseka na hii kitu watu wanakuja na majibu ya ovyo ovyo hata Pascal Mayalla huoni majirani wanatukumbusha tujitafakari tujilinde na hii kitu

Precaution is Better Than Cure
 
Uzuri wake sasa hivi hakuna kwenda India wala Ujerumani kwa matibabu wote ni hapa hapa. Ingawa waheshimiwa watapewa kipaumbele.
 
Mawazo ya kipuuzi kabisa.

Mambo kama haya hatarishi kwa watu hayawezi kufanywa tu kwa hisia za watu eti hawataki kuiga toka nchi zingine.

Huwezi kuhatarisha maisha ya raia zako kwa kujiona wewe unajua zaidi ya wengine wanaofuata taratibu ambazo zilishathibitishwa kisayansi.

Hakuna anayeombea waTanzania wakumbwe na janga kama hili, lakini mitizamo ya kishamba kama hii ni kukosa heshima za uongozi.
Kwako wewe unaona kukusanyika makanisani, misikitini na kwingineko ni sawa tu eti kwa vile hatutaki kuiga watu wengine? Hii ni akili ya namna gani.

Mungu atatulinda. Tutaekana na janga, ili mkidhi haja zenu za kujipa sifa kuwa 'mlijua' huu ugonjwa hauwezi kuwashambulia waTanzania.

Haya nyinyi mliyajulia wapi? Mnazo sayansi zenu za kipekee?
Rudi darasani, ukijua kuandika vizuri urudi kuchandia. Aidha nakushauri ujiweke quarantine mwenyewe hakuna anayekuzuia.
 
Rudi darasani, ukijua kuandika vizuri urudi kuchandia. Aidha nakushauri ujiweke quarantine mwenyewe hakuna anayekuzuia.
Ukitaka kukuza uwezo wako wa kufikiri njoo nikufundishe. Kama corona imekushambulia nitakutibu. Ujinga usikutie woga kuja kuomba msaada.
 
Kila mtu atumie njia zake kupambana yaani washindwe kuwashangaa Italy na Spain ambao wamefungia watu ndani lakini daily wanazika watu 700+ waje kutushangaa Tanzania ambao tukifungiwa ndani tu kwa siku moja tunakufa kwa njaa wala sio corona.
Unastahili like zaidi ya 1,000 kwa hiyo comment yako
 
kuna ebola Congo DRC ila sijawahi kuona Kenya wala nchi yoyote Afrika mashariki wakifanya hiyo lock down.
Naona hapa kama tunalazimishwa ku"panic".
Hao wanaoweka lockdown wanaishia kuwapiga na kuwatesa raia wao.
Ni bora tuendelee na maisha huku tukichukua tahadhari.
Screenshot_20200330-183118.png
 
Ndio hapo magu anapojua kuwapatia wajinga hapa bongo ana control kila kitu ili kauli zake zisionekane za kipuuzi.Utakuta wagonjwa ni wengi tu ila anabana wasitangazwe na vifo pia mtu mmoja sio namba sahihi ila hadi ummy anakuja kutangaza tayari info zimechujwa sana.Jilindeni!Tupo na kidikiteta chetu kina control mambo ili ajikute star!rubbish.
Jitokeze tu mkuu kama unatakiwa kutengwa, uzuri zaidi ni kwamba, kuna namba ya kupiga bule unapohisi umeambukizwa ama hata jirani yako msaidie kama unaona anazodalili za maambukizi, unataka wawe wengi kina nani sasa wakati pengine mtaani kwako hakuna hata mwenye dalili hizo

Chuki inaua ukiiendekeza mkuu
 
Eburu Presenter: Kauli ya Rais kuwa tuchape kazi, corona ni kitu cha kawaida, Mungu atatuongoza. Kauli ya Rais Magufuli imestua hata Shirika la Afya Duniani. Tanzania ni majirani zetu, ugonjwa ukisambaa Tanzania Kenya hatuwezi kuukwepa.

Ki historia Tanzania ni kama nchi inayoongozwa na Mwalimu Mkuu ambae anafanya maamuzi yote. Kwakufupi Magufuli anatuambia fanyeni yenu na mimi ninapiga mziki nikiwa ninafanya yangu. Lakini haya yataishia kwenye kilio.

Hata kama tunamtegemea Mungu tuwe na busara, huwezi kufanya maamuzi ya ovyo ukitegemea Mungu atakulinda.

View attachment 1405938
Kumbe unazungumzia hao ngo'mbe wanaochapwa na kukimbizwa na makaraa kama wezi.

Waambie waachane na sisi na wafanye maisha yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eburu Presenter: Kauli ya Rais kuwa tuchape kazi, corona ni kitu cha kawaida, Mungu atatuongoza. Kauli ya Rais Magufuli imestua hata Shirika la Afya Duniani. Tanzania ni majirani zetu, ugonjwa ukisambaa Tanzania Kenya hatuwezi kuukwepa.

Ki historia Tanzania ni kama nchi inayoongozwa na Mwalimu Mkuu ambae anafanya maamuzi yote. Kwakufupi Magufuli anatuambia fanyeni yenu na mimi ninapiga mziki nikiwa ninafanya yangu. Lakini haya yataishia kwenye kilio.

Hata kama tunamtegemea Mungu tuwe na busara, huwezi kufanya maamuzi ya ovyo ukitegemea Mungu atakulinda.

View attachment 1405938
Siyo kila mtu anatakiwa kumzungumzia Magufuli. Kama Uhuru, Mseveni, Kagame na Nkurunzinza wakisema juu ya Magufuli au TZ na uamuzi wa kuendelea na kazi zetu, hapo tuna haki ya kujali. Mtu wa mitaani asiye mtaalamu anawezaje kuwa ni mtu wa kujadiliwa hapa?

Umefanya makosa kutuletea hadithi za wartu wa mitaani.
 
Waende huko wanatuonea wivu tunapiga bia mchana bar,wivu acheni kutuingilia mambo yetu kwendraaa acheni wivu,hatufungiwi ndani tunadunda daily mchana usiku unataka tutoroke tukifungiwa
 
Duh, huyu dada ni "agent corona" nini?
Angalia nyuzi zake za corona na mwelekeo wake.
 
Ndio hapo magu anapojua kuwapatia wajinga hapa bongo ana control kila kitu ili kauli zake zisionekane za kipuuzi.Utakuta wagonjwa ni wengi tu ila anabana wasitangazwe na vifo pia mtu mmoja sio namba sahihi ila hadi ummy anakuja kutangaza tayari info zimechujwa sana.Jilindeni!Tupo na kidikiteta chetu kina control mambo ili ajikute star!rubbish.
Mbona unaandika kwa ignorance kama Trump? Trump alikalia kusingizia China, eti inaficha habari za Corona, mwisho sasa US iko matatani. Kwani lazima kila nchi iwe na wagonjwa wengi? OK wanaficha, hakuna sababu? Viongozi wa Kenya walionesha uzembe mapema kabisa kwa kuruhusu ndege toka China ikatua Nairobi bila hata kukaguliwa, hadi wananchi mitaani walipowakazia mkwara. Yaani leo hii mpuuzi mmoja akiingia studio eti anaanza kuifundisha TZ, nawe unaunga mkono?
 
Eburu Presenter: Kauli ya Rais kuwa tuchape kazi, corona ni kitu cha kawaida, Mungu atatuongoza. Kauli ya Rais Magufuli imestua hata Shirika la Afya Duniani. Tanzania ni majirani zetu, ugonjwa ukisambaa Tanzania Kenya hatuwezi kuukwepa.

Ki historia Tanzania ni kama nchi inayoongozwa na Mwalimu Mkuu ambae anafanya maamuzi yote. Kwakufupi Magufuli anatuambia fanyeni yenu na mimi ninapiga mziki nikiwa ninafanya yangu. Lakini haya yataishia kwenye kilio.

Hata kama tunamtegemea Mungu tuwe na busara, huwezi kufanya maamuzi ya ovyo ukitegemea Mungu atakulinda.

View attachment 1405938
Status ya corona Tz, oko ascribed kwenye uamasikini wetu, wengi tupo ndani, hatuna connection na nje. Hao wenye case nyingi raia wao wengi husafiri nje.
 
Maguf

Magufuli anawanyima usingizi yeye mwenyewe anajua kuwa measures wanazochukua ni za hatari kuliko kutokuzichukua

Hiyo njiainayokataliwa ndio imeleta ahuaeni China na kwingine kote. Inaweza kuwa namapungufulakini ndio njia yenye mafanikio so far.Waliojaribu hii ya kwetu wote baadaye waliamua kufuata nia ya kupima ilikutambua, kutenga na kutinu kuzuia maambukizi mapaya. Knye hii njia huko kote wakitenga watu wote walioambukizwa,maambukizi mapya yatapungua na kisha kwisha kabisa. Huku sisi tuendelee kusali lakini hii kauli yako uisome tena mbele ya jamvi baada ya wiki tatu kama utakuwa hai.
 
Status ya corona Tz, oko ascribed kwenye uamasikini wetu, wengi tupo ndani, hatuna connection na nje. Hao wenye case nyingi raia wao wengi husafiri nje.

Maingiliano ya maskini na matajiri unaowasema ni mwingi sana. Itakapotoke hii kitu imeingia maeneo ya maskini haitwezekana ku I contain au itakuwa vigumu sana. Vibarua wamatajiri ni hao masikini. Wasidizi wa ndani hali kadhalika. Walinzi usiseme. This is very dangerous tusifanye nayo utani.
 
Mbona unaandika kwa ignorance kama Trump? Trump alikalia kusingizia China, eti inaficha habari za Corona, mwisho sasa US iko matatani. Kwani lazima kila nchi iwe na wagonjwa wengi? OK wanaficha, hakuna sababu? Viongozi wa Kenya walionesha uzembe mapema kabisa kwa kuruhusu ndege toka China ikatua Nairobi bila hata kukaguliwa, hadi wananchi mitaani walipowakazia mkwara. Yaani leo hii mpuuzi mmoja akiingia studio eti anaanza kuifundisha TZ, nawe unaunga mkono?
Tanzania raia yeyote atakaye ikazia mkwara serekali atapotezwa na dikteta uchwara, heri yao hao wakenya nafasi hiyo wanayo, hapa tz rais anatamani kuwa igp ili awashikishe adabu raia wanao fanya yale asiyo yapenda.
 
Back
Top Bottom