Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
safi sana mmetimiza wajibu wenu wa kukemea mavu. taasi zote zenye kujitambuwa na zirozo huru zinapaswa kuinga mfano huu na kuanza kukemea maovu haya ya awamu hii kabla hali haijawa mbaya. watanzania wanaanza kupoteza imani na vyombo vya ulinzi.
Hivi wewe ni mtu au li robot? Maana mtu gani asiye na hisia na kuhara maneno hovyo?Utakufa mdomo wazi uking'ogwa na mainzi ukiitaja ccm,lofa wewe
Wacha kutisha wanaume wewe kigoli.Utakufa mdomo wazi uking'ogwa na mainzi ukiitaja ccm,lofa wewe