dexterous
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,038
- 3,124
Kutokana na makosa waliyokutwa nayo nakupelekea kufungiwa kutoshiriki michuano ya Europe kwa kipindi cha misimu miwili, tutajarie haya kwa baadaye endapo rufaa yao ikikataliwa au kushindwa.
1. Watakaza sana kwenye game yao na Madrid na huenda ikawapa msukumo zaidi maana hii itakuwa kama ndiyo nafasi muhimu kwao kuweza kuchukua uefa.
2. Kuondoka kwa wachezaji wengi wakubwa wa Man City. Bila shaka Man City itakuwa dirisha la kuchukuwa wachezaji watakaotimkia timu kubwa na De Bruyne atakuwa mchezaji wa mvuto zaidi kugombaniwa.
3. Kuondoka kwa kocha wao Pep Guardiola 2021.
4. Huenda ikawa nafasi nzuri kwa Mourinho kupitia mlango wa nyuma kushiriki UEFA akiwa nafasi ya tano.
5. Liverpool itaendelea kuwa na nafasi kubwa kuchukua Premier League 2020/2021.