hivi ndivyo interview ya dodoma ilivyokuwa

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
ilipofika saa tatu wametengwa kulingana na ulicho apply.wakaingia ndani.wakagawa paper la mtihani.mda masaa mawili.
maswali kwa watu wa HR yalikuwa mchanganyiko;
mathematics!economics,english na maswali ya HR.hapakuwepo kiswahili.maswali yalikua ya kuchagua na kujieleza.walikuwepo wasimamizi wa mitihani.
watakaopass ndo wataitwa kwenye oral interview.hawajasema wataita baada ya mda gani.watu walikua zaidi ya elfu2.watu wameingia kwenye paper saa3,5 na saa nane.na kesho wengine watafanya.ni hayo tu.roger
 
Tunawatakia kila lenye kheri wote waliofanya interview. Tuamini kwamba vyuo vikuu ni taasisi zinazopaswa kutenda haki na hivyo ndivyo itakavyokuwa hapo UDOM!
 
usafiri ubungo-dodoma ilikuwa elfu25 sumatra walivyokuja tukfanyiwa elfu 15,guest house dodoma ilikua tabu.asubuhi kutoka dodoma mjini kwenda chuo taxi elfu15,bodaboda elfu5,udom cantini zimefungwa bado so mchana hamna kula na kunywa.kutoka udom taxi mnachangia buku3.kule udom ni noma.
HR walikuwa watu 1012 waliofanya interview lakini wanahitajika watu 12 tu.
 
Kila la kher mkuu, nafkir lile suala la udin km lilivyowah kuripotiwa hapa halitakuwepo, mungu akuongoze upate job
 
Hyo ndo bei ya tax always. Why hawajafungua canteen wakati form 1 ndo wamekuja? Poleni anyway poleni!
 
usafiri ubungo-dodoma ilikuwa elfu25 sumatra walivyokuja tukfanyiwa elfu 15,guest house dodoma ilikua tabu.asubuhi kutoka dodoma mjini kwenda chuo taxi elfu15,bodaboda elfu5,udom cantini zimefungwa bado so mchana hamna kula na kunywa.kutoka udom taxi mnachangia buku3.kule udom ni noma.
HR walikuwa watu 1012 waliofanya interview lakini wanahitajika watu 12 tu.
Mbona usafiri wa daladala upo tele kituo cha jamatini kuelekea udom, tena muda wowote unapofika kituoni sh 350/. Kama umeamua kupanda taxi, boda, usilalamike ndo bei zake kulinganisha na umbali.
 
Kweli ajira ngumu sana nafasi 12 waliofanya interview wako 1012 daaa hii kali zaidi kama vile kwa NAO iko sawa walikuwa 4000 nafasi 100!!
 
Kila la kheri wandugu.

Samahani, unaweza kunipa mchanganuo wa ajira ulivyo, i.e nafasi zipi wanaziomba.
 
Kila la kheri wandugu.

Samahani, unaweza kunipa mchanganuo wa ajira ulivyo, i.e nafasi zipi wanaziomba.
Umekumbuka shuka asubuhi,nafasi zilitangazwa zilikua nyingi sana na sasa ni interview mzee!!!
 
Back
Top Bottom