Hivi ndivyo ilivokuwa kwenye maandamano ya ccm mbeya katika picha!

Ndio maana tuko masikini. Watu wote hawa wamejikusanya na kupoteza wakati badala ya kufanya kazi. Tatizo kubwa la Watanzania wanadhani ni lazima wawe na muelekeo wa chama na kupoteza wakati wao. Ingekuwa vizuri kama 90% ya watanzania wangekua kati bila muegemeo wa chama chochote na kupiga kura zao kufuatana na sera za chama au msimamo wa mambo muhimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom