Hivi ndivyo gari huwa zinawaka moto

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
41,782
2,000
Hahahah... Shida ndio kama nilivosema hizo gari ukiendesha tu ilimradi inawaka na kutembea with time utalia kilio kikuu.

Tena Benz/BMW/Land Rover/Jeep/Ford zinaweza kukuvumilia.

Audi/VW japo spea ni cheap ukilinganisha na wengine ila matatizo huwa yanafululiza kama mwenye gari hajali...
Huhuhuhuhu ni nomaree
 
Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
8,016
2,000
Bado una akili za kitoto.

Kwamba mimi nimeandika hapa ili niburudishe watu...

Niburudishe ili nigundue nini?

Ndio maana nilikuambia hizi akili za Fesibuku and I was right.

I rest my case.

Ngoja nitafute ignore button.

Naona unarukaruka tu, wapi nimesema umeandika ili uburudishe watu? Kumbe kuna watu wazima lakini wagumu kweli kweli kuelewa, hata sijui ni mjinga gani atakuletea gari lake umfanyie hiyo diagnosis ili hali anaona jinsi gani kichwa chako ni kigumu kuelewa jambo dogo tu. Nachelea kusema mada uliyoleta umeandikiwa na mtu timamu lakini wew ni empty set kwa jinsi unavyojibu hoja na kutaka kukimbia. Nyie ndiyo wale unakuwa contacted then unaanza kusema ngoja nikupe mtu wa kuongea naye wakati wew ndiye ulileta mada.
 
Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
8,016
2,000
Huna gari kaa kimya!
Dogo Sio kila uzi ukoment
Ona sasa....
Emeamua kujificha kwenye kichaka cha mimi sina gari, sasa mtu kama wew kuwa na gari ni big issue maana yake mpaka sasa utakuwa unafight ili ununue gari
So kwa akili zako unadhani mimi niko level za kuwaza kununua gari???? Pathetic
 
Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
8,016
2,000
Dah...we jamaa huna jema wala shukrani
Mkuu kwanini wasema hivyo? Yawezekana nikawa nimeeleweka vibaya mana wew ni kama mtu wa tatu kama siyo wanne wasema/waona comment yangu siyo nzuri, nieleweshe nilipokosea niombe radhi mana kama watu zaidi ya wawili wakilalamika basi naamini kuna sehemu nimekosea/kwaza mtu/watu. Asante
 
JituMirabaMinne

JF-Expert Member
May 4, 2020
1,375
2,000
Huhuhuhuhu ni nomaree
Screenshot_2021-09-10-08-29-34-231_com.ding.kupatana.jpgChuma hiko namba D... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
The Bleiz

JF-Expert Member
Jan 7, 2012
4,809
2,000
Ona sasa....
Emeamua kujificha kwenye kichaka cha mimi sina gari, sasa mtu kama wew kuwa na gari ni big issue maana yake mpaka sasa utakuwa unafight ili ununue gari
So kwa akili zako unadhani mimi niko level za kuwaza kununua gari???? Pathetic
Usilete umuhimu kwenye nyuzi za watu. Na pia punguza ujuaji chief.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zeddicus Zu'l Zorander

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
631
500

Naona unarukaruka tu, wapi nimesema umeandika ili uburudishe watu? Kumbe kuna watu wazima lakini wagumu kweli kweli kuelewa, hata sijui ni mjinga gani atakuletea gari lake umfanyie hiyo diagnosis ili hali anaona jinsi gani kichwa chako ni kigumu kuelewa jambo dogo tu. Nachelea kusema mada uliyoleta umeandikiwa na mtu timamu lakini wew ni empty set kwa jinsi unavyojibu hoja na kutaka kukimbia. Nyie ndiyo wale unakuwa contacted then unaanza kusema ngoja nikupe mtu wa kuongea naye wakati wew ndiye ulileta mada.

Acha kumvunjia heshima mleta uzi ambae anaheshimika hapa jukwaani bila sababu za msingi. Sio kila uzi lazima uchangie, maana naona unaropokaropoka tuu ili uonekane na wewe una kitu kichwani wakati in real sense wewe ndio empty set. Wenye magari tunamjua na huwa tunampelekea magari. Punguza ujuaji unakera aaaaaghhh.
 
Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
8,016
2,000
Acha kumvunjia heshima mleta uzi ambae anaheshimika hapa jukwaani bila sababu za msingi. Sio kila uzi lazima uchangie, maana naona unaropokaropoka tuu ili uonekane na wewe una kitu kichwani wakati in real sense wewe ndio empty set. Wenye magari tunamjua na huwa tunampelekea magari. Punguza ujuaji unakera aaaaaghhh.
Kipi kimekukera hapo au nimevunja heshima yake kwa comment ipi hasa? Kuwa na gari na kumpelekea mimi inanihusu nini? Anyway kuwa wazi kosa langu hapo ni nini mkuu? Wala usipindishe maneno sema direct kuwa hiki au comment yako hii umekosea
 
Mzee Kigogo

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
4,578
2,000
Hahahahahah hapo kutatua matatizo yote hayo ni aheri ulipie mke mahari uoe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na harusi kabisa!

Tukiwaambia gari zetu wamatumbi ni Toyota wanajitia ujuaji! Hapo Service tu ya vifaa vyote cost yake ni bora kununua IST tu! Niliwahi ona BMW 3 series inauzwa juzi kati et 4.5m na gari ni DPT imenyookaπŸ˜… sana nikajiuliza dah 4.5m for a Bmw kuna namna!
Wazungu wenyewe wanakwambja there is nothing more expensive than Cheap Mercedes Benz. Sasa jichanganye ununue hiyo Beemer uone moto wake
 
desayi

JF-Expert Member
Aug 27, 2017
1,051
2,000
Hahahahahah hapo kutatua matatizo yote hayo ni aheri ulipie mke mahari uoe na harusi kabisa!

Tukiwaambia gari zetu wamatumbi ni Toyota wanajitia ujuaji! Hapo Service tu ya vifaa vyote cost yake ni bora kununua IST tu! Niliwahi ona BMW 3 series inauzwa juzi kati et 4.5m na gari ni DPT imenyooka sana nikajiuliza dah 4.5m for a Bmw kuna namna!
Ukiwambia wanajifanya et dunia Kijiji hizi zinafaa watu wenye cash zao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom