Hivi ndivyo ccm inavyo ondoka Arusha

nassiry

Senior Member
May 7, 2013
182
36
Makamanda wa Chadema wakifuatilia mkutano wa Diwani mteule kata ya Elerai
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1371135710068.jpg
    uploadfromtaptalk1371135710068.jpg
    107.8 KB · Views: 690
Nahakika mwigulu akiona hii atapata majibu kama chadema ni inzi au nyuki
 
Duuuuuuuu! Hii ni nouma mazee! Hakika kwa hali hii chama cha magamba bai bai.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kunja Ngumi,
Kunja Ngumi,
Kunja Ngumi,

PIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOZ!!!!
 
Leo wamepita na matangazo yao!walichoambulia ni zomeazomea!kila wanapopita na matangazo ya Mwingulu,watu waliwazomea!Hapa ni Arusha,lazima ucheze kwa step,unless utabaki kukanyaga wengine.
 
well said,kwa mwendo huu magogo ileeeeee,then mwakan kwenye serekal za mitaa tunawapga za macho mwanzo mwisho,wap chemba na nepi?mwaka huu mbwa atabweka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom