Leo wamepita na matangazo yao!walichoambulia ni zomeazomea!kila wanapopita na matangazo ya Mwingulu,watu waliwazomea!Hapa ni Arusha,lazima ucheze kwa step,unless utabaki kukanyaga wengine.
well said,kwa mwendo huu magogo ileeeeee,then mwakan kwenye serekal za mitaa tunawapga za macho mwanzo mwisho,wap chemba na nepi?mwaka huu mbwa atabweka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.