Hivi ndivyo CCM huanza umbea,halafu wanafuatia na uchochezi

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
CCM mabingwa wa umbea na propaganda za uchochezi huanza utendaji wao kwa namna hii:

-Kwanza hujaribu kusisistiza umuhimu wa amani.
-halafu hutahadharisha watanzania na wavuja amani.
-halafu hu suggest kuwa kuna wanaopita waghai watanzania ili wawagawe kwa ukanda na udini na ukabili(Uchochezi kupitia nafsi ingine).

-Halafu CCM hujisikia kuwa wamekubalika na hivyo kujiahalalishia kushambulia hao waliosingiziwa kwa kusema haya.Serikali imejipanga kupambana nao kwa hali na mali.

-CCM humalizia pia kwa kujihalalishia kushindwa kwa na pia kutumia kushindwa kwao km fahari kwa kusema.."Kwa miaka 50 yote sisi tumeshindwa,wao ndio wataweza?CCM imefanya makubwa miaka yote hii.

-CCM hujaribu weka hisia za guiltiness..."Hadi wamefika hapo ni juhudi za CCM leo hawana shukrani"..haha wanajisema wao wenyewe walionufaika na ufisadi wa CCM,CCM ambayo haijawahi jenga office zake yenyewe.CCM haijawahi rudisha michango ya watu waliojitoa.

Kwa leo hiyo ni sehemu ya mizaha ya CCM tk nchi..ila ilaaniwe ktk umbea wakena uchochezi kupitia nafsi nyingine.CCM ni slanderers.
 

masanjasb

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
2,364
1,195
Na amani ya nchi hii watakaoivuruga ni hao hao maccm......wamekuwa wafadhili wa matamasha ya amani na matangazo ya amani kwenye radio na tv na mwisho wa siku wanaoua watu na kubambikiza kesi ni serikali yao iliyochini yao.
 

sawabho

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
5,296
2,000
Mbona hujasomeka Mkuu? au ndo hangover za virobavya kinondoni?

Hii inanikumbusha mtu anapopigiwa simu na Mdeni wake, anaipokea na kusema halo.......halo.............halooooooo, ....sikusikii vizuri, simu inakatika, mara anakata simu moja kwa moja.
 

bendaki

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
954
250
Logic huwa ulichokuta kimejengeka ni lazima utumie nguvu, akili zako na kila kinachowezekana ili hicho ulichokikuta kiimalishwe na kuboreshwa zaidi. Kinyume chake wewe ni wa ovyo kupindukia hufai kabisa. Sasa tuwaangalie CCM: Amani waliikuta wanajiibidisha kidogo kuidumisha. Elimu je? Maji je? Reli je? Usafiri ziwa Victoria je? Udini na ukabila je? Ubinafsi, ulafi, upendeleo, wizi, ufisadi, rushwa, utawala wa ki-ukoo, nk. Mjadala ni mpana wana jf tuujadili kwa kuboresha.
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
Logic huwa ulichokuta kimejengeka ni lazima utumie nguvu, akili zako na kila kinachowezekana ili hicho ulichokikuta kiimalishwe na kuboreshwa zaidi. Kinyume chake wewe ni wa ovyo kupindukia hufai kabisa. Sasa tuwaangalie CCM: Amani waliikuta wanajiibidisha kidogo kuidumisha. Elimu je? Maji je? Reli je? Usafiri ziwa Victoria je? Udini na ukabila je? Ubinafsi, ulafi, upendeleo, wizi, ufisadi, rushwa, utawala wa ki-ukoo, nk. Mjadala ni mpana wana jf tuujadili kwa kuboresha.

Hata hiyo amani haina tafsiri sahihi upande wa CCM..CCM kwao amani ni ile wanayoihubiri hata wakiwa wanaua.
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
ni kweli mkuu CCM wanahubiri amani kinafiki sana, angalia walivyotumia vijana kuvuluga amani kwenye mikutano ya upinzani,

CCM ni laana ya nchi na africa nzima.Hembu fikiri akili zao hizi ,ziwe ndizo zinaongoza operations na propaganda ktk nchi nyingine.
 

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,280
2,000
Ktiba nayo wameanza kwa muungano na udugu wetu....halfu wanarudisha watu ktk serikali 2
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom