Hivi ndivyo Africa inavyoonekana huku kwa hawa wenzetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ndivyo Africa inavyoonekana huku kwa hawa wenzetu

Discussion in 'Jamii Photos' started by RayB, Oct 9, 2010.

 1. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  67251_435917296332_688601332_5746728_7377395_n.jpg

  Is this fair au ni kweli hence tusilalamike?
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Wapi kwanza?
  Kama ni nchi za Magharibi ni sahihi maana wao ndiyo wanatengeneza hizo silaha na kuuza kwa waafrika wauwane...Lolz!
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Ni kweli, tuwalalamikie viongozi mafisadi wenye uchu wa kujimilikisha nchi na kufilisi walalahoi. Na bongo tutafumuana hv karibuni kama hawa wajingawajinga hawatarudisha nchi yetu mikononi mwetu!!
   
 4. m

  mamanalia JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 671
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hapa wamekosea, hii inafaa middle east
   
Loading...