Hivi ndio vipindi bora kabisa vya TV kwa mtanzania...

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
1: ITV kipima joto, kila ijumaa saa Tatu kamili hadi saa tano kamili
2:TV 1, Mawazo Pevu na muhksin mambo.

Kwangu mimi najifunza mambo mengi sahihi kutoka kwa wageni waalikwa wenye uelewa mkubwa juu ya wanachokisema...
 
Kila kipindi cha TV au Redio ni bora kulingana na Mtumiaji wa hiyo habari!
 
mimi nakipenda kile kipindi anachokipenda mkuu SHILAWADU SHILAWADU nawaona nawaona mna uhuru wa kukataa kurusha clip ya kumchafua bishot but not to that extent
 
Back
Top Bottom