Hivi ndio ndivyo hali itakavyokuwa 2020 kwa CCM

Mango833

JF-Expert Member
May 4, 2011
4,392
20,545
Sasa wako bize kupiga hela na kupokea milioni kumi na kuzuia bunge live
43a91b43ddbf8b4486d0b3bca05a9fb8.jpg
 
Asee kua mwanasiasa inahtaj usiwe binadam wa kawaida, yan nikiwaangaliaga nashindwa kuelewa waliumbwajeumbwaje coz mambo wanayofanyaga bnadamu wa kawaida huwez, yan inabd ujifanye somtymz yes somtymz no. Nahisi wanaweza ishi sayar yoyote coz vtuko na unafki wao sio wa sayar hii
 
Waliyokuwa wamepiga magoti wakati wa kampeni sasa hivi wamesimama, waliuokuwa wamesimama sasa hivi wamepiga magoti.
Tofauti yao wengine walipiga magoti kwa miezi mitatu na wengine watapiga magoti kwa miaka minne ijayo, tayari wamekwishapiga kwa mwaka mmoja, wenyewe wanaita "kuisoma namba"
 
Mkuu unaongelea kwa watanzania hawahawa au?
Sisi huwa tuna sifa ya kuchagua tusivyovipenda halafu tunaanza kujutia na kulalamika. Hiyo ndio hulka yetu.
Tunapenda maigizo na kudanganywa danganywa sana.
 
Back
Top Bottom