Hivi ndege haina handbreak kama gari?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Nimeona/shughudia mojawapo ya ndege zetu hapa Tanzania ikiwa imepaki na katika kutizama vizuri nikaona chini kwenye tyre wameweka kigogo cha mti ili ndege isirudi/kwenda. Je, maana hizi ndege nazo hazinaga hand break kama gari au zipo ni hii ha ndege yetu ndio tuu haifanyi kazi. Naomba kujuzwa

IMG_20210723_173617.jpg
 
Nimeona/shughudia mojawapo ya ndege zetu hapa tanzania ikiwa imepaki na katika kutizama vizuri nikaona chini kwenye tyre wameweka kigogo cha mti ili ndege isirudi/kwenda .je?i maana hizi ndege nazo hazinaga hand break kama gari au zipo ni hii ha ndege yetu ndio tuu haifanyi kazi.naomba kujuzwa View attachment 1864769
hicho siyo kibao cha mbao kama unavyoweza kufikiria kama ulishawahi kupnda ndege huwez pnga hilo,

ndege zote huwekwa hicho kifaa ambacho huwa na muundo kama mbao au plastic ngum sana ,sabab ni uzito mkubwa sana wa ndege hasa ukizingatia inabebwa na tyre ndogo but zenye chuma ndefu sana kwenda juu.

ukitaka kujua why inawekewa hicho kigingi unaweza chukua mfano wa mtu mnene sana ambae amewekewa miguu yote ya chuma,ambpo ili atembee safe zaid bas ni lazma atumke hata fimbo even ana miguu bandia
 
Ipo ila bila hicho ukija upepo mkali inaweza kusota
 
hicho siyo kibao cha mbao kama unavyoweza kufikiria kama ulishawahi kupnda ndege huwez pnga hilo,

ndege zote huwekwa hicho kifaa ambacho huwa na muundo kama mbao au plastic ngum sana ,sabab ni uzito mkubwa sana wa ndege hasa ukizingatia inabebwa na tyre ndogo but zenye chuma ndefu sana kwenda juu.

ukitaka kujua why inawekewa hicho kigingi unaweza chukua mfano wa mtu mnene sana ambae amewekewa miguu yote ya chuma,ambpo ili atembee safe zaid bas ni lazma atumke hata fimbo even ana miguu bandia
Hii itakuwa ina handbraker....haina kibao kwenye tairi

tairi la ndege.jpg
 
Ndege zote zinakuwa na kitu kinaitwa Chocks.na Wala sio mbao,ni rubber mnato. Hiyo ni kwa ajili ya tahadhari iwapo parking brake itafeli na labda Kuna utelezi,Kutokuweka chocks ni makosa kisheria.pia upepo ukiwamkali zinasaidiana na parking brake ndege isije tembea yenyewe.hizo rubber ni maalum na zitengenezwa kwa viwango kuwa na friction kubwa.hata Rubani akijisahau akaondoa parking brake kimakosa labda kwenye mteremko ajali kubwa yaweza kutokea ukiangalia momentum ya dege kubwa hzo chocks zitazuia.
 
Back
Top Bottom