Hivi nchi za Afrika wameshindwa kumaliza shida za Congo na Msumbiji

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
5,396
2,000
Hivi kwanini Afrika nzima isitengeneze muungano wa kijeshi kufyeka huu uchafu wa ugaidi huko msumbiji,waasi wa kongo na bokoharamu?

Hawa wanatakiwa wapigwe mabomu tu yaani wachakazwe kweli kweli

Hapo Congo na Msumbiji ukianzisha uvamizi na operesheni ya angani na ardhini unamaliza huo uozo wote

Inatia hasira sana
 
chef detat

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
15,355
2,000
Hivi kwanini Africa nzima isitengeneze muungano wa kijeshi kufyeka huu uchafu wa ugaidi huko msumbiji,waasi wa kongo na bokoharamu?

Hawa wanatakiwa wapigwe mabomu tu yaan wachakazwe kweli kweli

Hapo kongo na msumbiji ukianzisha uvamizi na operesheni ya angani na ardhini unamaliza huo uozo wote
Inatia hasira sana
hizo ni projects za mabeberu na viongozi, kuna watu wanafaidika na hii migogoro, ulaya inauza magari na silaha, viongozi wa Africa wanapata madini
hivo basi, sio leo wala kesho,na pia ukijitokeza kiongozi una propose military interventio hao wahasi wana deal na wewe
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
9,766
2,000
Hivi kwanini Africa nzima isitengeneze muungano wa kijeshi kufyeka huu uchafu wa ugaidi huko msumbiji,waasi wa kongo na bokoharamu?

Hawa wanatakiwa wapigwe mabomu tu yaan wachakazwe kweli kweli

Hapo kongo na msumbiji ukianzisha uvamizi na operesheni ya angani na ardhini unamaliza huo uozo wote

Inatia hasira sana
Afrika wakiamua wanaweza.kufanya kotu kimoja tu wasiruhusu silaha kwenda kwenye makundi haramu yaani kilannchi isikubali kuwa kituo cha kupitisha silaha
 
Finder

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
261
500
Afrika wakiamua wanaweza.kufanya kotu kimoja tu wasiruhusu silaha kwenda kwenye makundi haramu yaani kilannchi isikubali kuwa kituo cha kupitisha silaha
Nan akatae wengine ndo biashara zao. Hi dunia ukiifikiria sana unawezahairisha kuish hapa bora uende Mars tu
 
Brasso

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
279
1,000
Ile ni biashara mzee hao hao viongozi unaosema wakumaliza mgogoro ndo wamewekeza pale sio kwamba hawajui wanajijua we ukijitia mjuaji wanapita na wewe hata rais wao kuna maeneo hagusi anajua kuna wakubwa wake washajichimbia mizizi. Amani ya kongo ni ya kusadikika kama hadithi za Abunuwasi hayo matamko unayoyaona ni ya kujifariji wakitaka amani lazima wakubali kuna watu wachinjane kwanza.
 
bernabella

Senior Member
Apr 4, 2021
168
250
Usilolijua sawa na usiku wa giza,hivyo vita vya Mozambique wanajuana wenyewe viongozi walioko madarakani,ni biashara walizozifanya tawala zilizopita halafu akaja Rais mwingine akamgeuka mwenzake na kuleta kampuni nyingine.
Sasa wale wa mara ya kwanza hawakubali ndiyo kinachoendelea
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
3,827
2,000
Mmarekani ana milima 16 ina madini ya copper, tena high quality, inalindwa kwa sheria za marekani na jeshi la marekani (Full Gwanda Za Marekani), kuna uwanja wa kisasa wa ndege pale. Mpaka sasa wanachimba kwenye milima 2 tu, mingine 14 bado hata kuanza kuigusa. Nimefanikiwa kufika binafsi.

Rwanda, Paul Kagame, anategemea kuwa fund waasi wake ndani ya congo ili apate almasi zenye thamani ya Millions of USD za kuiendeleza Rwanda kimkakati. Ana supply silaha na waasi ili malipo apewe almasi.

Wote hao wana supply ndege za shehena za silaha na Rwanda ana suply waasi ili vita wala suluhu isitimie milele.

Maisha yao yote Congo vita haitaisha.
 
road master

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
1,097
2,000
Hivi kwanini Africa nzima isitengeneze muungano wa kijeshi kufyeka huu uchafu wa ugaidi huko msumbiji,waasi wa kongo na bokoharamu?

Hawa wanatakiwa wapigwe mabomu tu yaan wachakazwe kweli kweli

Hapo kongo na msumbiji ukianzisha uvamizi na operesheni ya angani na ardhini unamaliza huo uozo wote

Inatia hasira sana
Acha tu ndugu yangu yani muafrika ni MTU wa hovyo sana eti muafika mweusi anamchinja muafika mweusi kwakua tu sio dini ya muarabu ambayo mchinjaji anaiamini!??? Ni binadamu gani awe mchina au mzungu atafanya ujinga kama huo
 
road master

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
1,097
2,000
Hao pichani wangeweza lakini sio hawa akina Mseveni na akina kagame
FB_IMG_1618677653007.jpg
 
Yuzo mawe

JF-Expert Member
May 31, 2019
495
1,000
Hivi kwanini Africa nzima isitengeneze muungano wa kijeshi kufyeka huu uchafu wa ugaidi huko msumbiji,waasi wa kongo na bokoharamu?

Hawa wanatakiwa wapigwe mabomu tu yaan wachakazwe kweli kweli

Hapo kongo na msumbiji ukianzisha uvamizi na operesheni ya angani na ardhini unamaliza huo uozo wote

Inatia hasira sana
Mkuu ukifatilia sana haya mambo kichwa chako chaweza pata moto.

Iko hivi,waasi wengi ambao wapo katika misitu ya congo wanapewa financial assistance na wazungu,ili mzungu aendelee kuiba madini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom