Hivi nchi yetu inarejesha mfumo wa zidumu fikra za Mwenyekiti?

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,751
2,000
Tatizo siyo Rais, ni watendaji walio chini yake.
Hata hivyo, kiongozi hutegemea walio chini yake na mara nyingi hujisikia raha kama vile unapokuwa na mbwa mkali, utampenda na hutaki apate shida yoyote.
Jamii iliyostaarabika hakuna lawama kama hizi, viongozi wao wana raha kuliko wanaoongoza nchi masikini na zisizo na ustaarabu.
Pamoja na mapungufu binafsi ya kiongozi, kama ana wasaidizi wa kujikomba, hali itakuwa mbaya mno.
Ukiwalaumu wasaidizi wake sidhani kama itakuwa unawatendea haki.

Hao wasaidizi wake siyo wanajipendekeza kwa kutaka wenyewe, Bali wanaona ndiyo the only solution of surviving under Magu's era.

Refer cases of Bashite and Gambo's
 

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,751
2,000
Wewe ukimzungumza Nyerere unamzungumza wa baada ya kustaafu kwa kusikiliza Hotuba zake, wenzio tunamzungumza Yule Mtu ambae alikuwa hataki kusikia Mtu Ana Mawazo Tofauti na yake akiwa Rais
Not true.

Pamoja na Mwalimu kutawwla wakati wa mfumo wa chama kimoja.

Lakini hakuwahi kuminya demokrasia to this extent.....

Nitatoa mifano michache ya huyu Bwana mkubwa.

Amemsifu Ndugai jinsi anavyotembeza 'rungu' lake kwa wapinzani na akamhakikishia kuwa akishawatimua wapinzani Bungeni na yeye atadeal nao huku uraiani!

Mwalimu hakuwahi kuteua acting Chief Justice, huyu Bwana mkubwa amethubutu kulifanya hilo.

Hata kama Mwalimu enzi za utawala wake ilikuwa ni mfumo wa chama kimoja, lakini alikubali mfumo wa kukosolewa.

Huyu Bwana mkubwa ndiyo kwanza anatamba kuwa akitokea mtu wa kumkosoa anachukulia kama kumuelekeza la kufanya na akaeleza kuwa mtu wa aina hiyo ndiyo anaharibu kabisa.......

Kwa kuwa yeye hakushauriwa na MTU yeyote kugombea Urais, Bali ni yeye mwenyewe ndiye aliyefunga safari na kwenda Dodoma kwenda kuchukua form ya kugombea Urais na akaijaza na kuirejesha.
 

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,751
2,000
Hili jambo linahuzunisha lakini mtaji wake ni aina ya WaTz kuendekeza unafki, na kutokubali kupigania kile wanachoamini na haki yao ya msingi. Na kwa aina hii ya wananchi CCM wataendelea kuwawanyanyasa WaTz na kuwafanya mtaji wao wa utawala.

Cairo's
Mtaji wa watawala wetu ni wale wenye uelewa mdogo.

Ndiyo maana tafiti ya Twaweza imebainisha kuwa CCCM inaungwa mkono na wasiokwenda shule_ wananchi wa vijijini na wazee wenye umri zaidi ya miaka 50
 

Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
5,085
2,000
Kizazi hiki vijana ambao ndio nguvu kazi wanaishia kupumuliwa wanaamua hivyo sababu they can't stand as men as our fathers use to be. Mwanaume anayekubali kuwa ass licker lazima upate kizazi cha kipumbavu kama hiki. Yani unakaa na waziri au mkurugenzi wa serikalini anakuambia hakubaliani na bwana mzee ila akienda kwenye majukwaa anaongea kama bwana mkubwa. Hii yote ni sababu wanataka kumlamba ili awape kula ila mioyoni mwao hawamkubali. Najua mnajua hilo
 

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,751
2,000
T
Kwa sasa Tanzania inaongozwa na mfumo wa chama kimoja ccm kwani wapinzani hawapo huru tena ni kama utawala wa kijeshi
Theoretically tupo kwenye mfumo wa vyama vingi lakini practically hakika tumerudi kwenye mfumo wa chama kimoja!
 

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,751
2,000
Kizazi hiki vijana ambao ndio nguvu kazi wanaishia kupumuliwa wanaamua hivyo sababu they can't stand as men as our fathers use to be. Mwanaume anayekubali kuwa ass licker lazima upate kizazi cha kipumbavu kama hiki. Yani unakaa na waziri au mkurugenzi wa serikalini anakuambia hakubaliani na bwana mzee ila akienda kwenye majukwaa anaongea kama bwana mkubwa. Hii yote ni sababu wanataka kumlamba ili awape kula ila mioyoni mwao hawamkubali. Najua mnajua hilo
Nchi yetu tusiigeuze ule mfano wa hadithi ya yule Mfalme mkali ambaye alikuwa akitembea uchi, lakini wananchi wake kwa woga waliokuwa nao ili wasishughulikiwe, wakawa wanamdanganya Mfalme wao na kumwambia kuwa umevaa vazi zuri na unapendeza sana!

Watanzania wote kwa ujumla wetu tuna wajibu wa 'kumualert' Mfalme wetu kuwa unatembea uchi before it is too late...........


Watanzania tunapaswa kuiga mfano wa yule mtoto jasiri kwenye ile hadithi ya yule Mfalme mtembea uchi alipomwambia ukweli kuwa mbona Mfalme unatembea uchi!?
 

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
14,751
2,000
Ipo baadhi ya mifano ambayo nchi yetu yapaswa kujifunza.

Mfano mojawapo ni Zimbabwe ambalo kundi dogo la viongozi wamekuwa wakimshawishi Kiongozi wao Mugabe aendelee kuwa Kiongozi wa nchi hiyo.

Matokeo yake Kiongozi huyo mkongwe wa miaka 93 amegoma kung'atuka na amekuwa Life President na nchi hiyo imeporomoka mno kiuchumi na hivi sasa imekuwa 'matonya' kwa kuomba omba!
 

Waberoya

Platinum Member
Aug 3, 2008
15,149
2,000
mwanzisha maada, changamoto kubwa iko kwenye asili zenu

mnaowaona wanamshabikia na kumtukuza magufuli ni wengine


wako pia wanaomshabikia na kumtukuza mbowe au lowassa kwa lolote lile

wako wanaofanya hivyo kwa maalim seif kwa lolote lile


sasa mnapotoa busara hizi, fanyeni hivyo kwa mtanzania na asili zao za mahaba!!! ila sio mnakuwa na busara hizi kwa sababu upande wa Magu una wagu wengiiii.....lakini angekuwa lowasa au mbowe kuna watu wa aina hiyo pia wengiiii wanaitwa Nyumbu

kama nyumbu basi nyumbu wa Lumumba wako kwenye peak sa hizi au niseme nyumbu wa mikumi

lakini kuna nyumbu wa ngorongoro hawako kwenye peak lakini wanawakumbusha nyumbu wa mikumi wasiwe nyumbu!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom