Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 7,204
- 12,698
Maji safi na salama ni yale yanayotoka bombani na unaweza ukayanywa na usipate shida yoyote. Haya ni maji ambayo yamechujwa, yamesafishwa na yamekuwa treated.
Unayanywa hayana chumvi wala harufu. Huhitaji kuyachemsha wala kuweka water guard. Katika pitapita zangu nchi hii sijawahi ona sehemu kuna maji ya namna hii. Ni sehemu gani nchi hii wanapata maji ya namna hiyo?