Hivi nawezaje kupata ufadhili wa kusoma nje ya nchi?

anny gervas

Member
May 14, 2013
23
19
Habari wanaJF,

Samahani naombeni Mnisaide hivi Mtu anapataje sponsorship kwa mfano ya kusoma Canada, ni kwamba unaomba?

Naombeni tu kufahamu juu ya hilo.

Asanteni
 
Kuna levels za kusoma, kuna scholarships za aina mbalimbali.

Kupata kuna kutumia google, kuna watu au wadau, ndgu jamaa hasa walio ughaibuni etc. Pia kuna kuwasiliana na vyuo usika upande wa international admissions.

Tafuta orodha ya vyuo, vyuo vya umma na binafsi uanze kuangalia kozi unazo itaji ili iwe rahisi kuomba na kusoma vigezo

Kama ni kwenda ughaibuni basi tafuta hata vyuo vya dini uende ukapige gospal huku ukiwa na mikakati yako
 
et akapige gospel
 
Ukiomba una nafasi ya kupata, hata ikiwa ni ndogo kiasi gani. Usipoomba, una hakika ya kutopata (99.9999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999999%). Kaasilimia kalikobaki, ni ka kupata udhamini unaokutafuta.
 
Back
Top Bottom