Hivi naweza soma masters ya business administration kwa G.P.A ya 2.7

mr_penguin

Member
Jul 5, 2018
31
23
Habari zenu watanzania nilikua nauliza kama naweza soma masters of business administration kwa G.P.A ya 2.7 kwa mwaka wa masomo 2018/2019...kama mnafahamu tafadhari naombeni mnijuze
 
Mkuu kwa kukusaidia tuu ingia google tafuta prospectus za vyuo ambavyo vina hiyo course na unapendelea kuomba admission soma taarifa na sifa za kudahiliwa katika hivyo vyuo halafu utajielewa mwenyewe. ila nikukumbushe tuu kwa kiwango cha elimu ulichonacho na fursa ya utumiaji wa tech ya computer katika ulimwengu huu kuuliza masuala namna hiyo ni AIBU.
 
Huwez soma usijisumbuwe mkuu.
Labda ukasome Post graduet Diploma ndipo Usome Masters.

Hili linatokana na Uongoz wa Awamu hii kuweka vigezo vipya vya Udahili kwa kila ngazi ya Elimu.

E.g. ukipata G.P.A 2.7 ya DIPLOMA huwez soma Bachelor.
Ukipata G.P.A 2.7 ya Bachelor huwez Soma Masters
Nafkir nimeeleweka...
 
Kama analima mwambie tu aendelee kulima
 
Huwez soma usijisumbuwe mkuu.
Labda ukasome Post graduet Diploma ndipo Usome Masters.

Hili linatokana na Uongoz wa Awamu hii kuweka vigezo vipya vya Udahili kwa kila ngazi ya Elimu.

E.g. ukipata G.P.A 2.7 ya DIPLOMA huwez soma Bachelor.
Ukipata G.P.A 2.7 ya Bachelor huwez Soma Masters
Nafkir nimeeleweka...
Mhhh mkuu hilo unauhakika nalo...
Mm ninajua chuo ambacho kinatoa masters kwa GPA ya 2.7
Japo n kozi za education
 
Mkuu kwa kukusaidia tuu ingia google tafuta prospectus za vyuo ambavyo vina hiyo course na unapendelea kuomba admission soma taarifa na sifa za kudahiliwa katika hivyo vyuo halafu utajielewa mwenyewe. ila nikukumbushe tuu kwa kiwango cha elimu ulichonacho na fursa ya utumiaji wa tech ya computer katika ulimwengu huu kuuliza masuala namna hiyo ni AIBU.
Asante mkuu...vyuo vingi naona prospectus zao hawaja update ndo natafuta uhakika
 
Huwez soma usijisumbuwe mkuu.
Labda ukasome Post graduet Diploma ndipo Usome Masters.

Hili linatokana na Uongoz wa Awamu hii kuweka vigezo vipya vya Udahili kwa kila ngazi ya Elimu.

E.g. ukipata G.P.A 2.7 ya DIPLOMA huwez soma Bachelor.
Ukipata G.P.A 2.7 ya Bachelor huwez Soma Masters
Nafkir nimeeleweka...
Mkuu lakini mm nilimaliza bachelor toka 2009 namuua kujiongeza kielimu niimudu vizuri kampuni yangu ya exportation
 
Huwez soma usijisumbuwe mkuu.
Labda ukasome Post graduet Diploma ndipo Usome Masters.

Hili linatokana na Uongoz wa Awamu hii kuweka vigezo vipya vya Udahili kwa kila ngazi ya Elimu.

E.g. ukipata G.P.A 2.7 ya DIPLOMA huwez soma Bachelor.
Ukipata G.P.A 2.7 ya Bachelor huwez Soma Masters
Nafkir nimeeleweka...
2.7 anasoma masters ya Udsm mujaarab kabisa kama degree yake kaipatia Udsm, hao wengine wa machakarabotini mpaka awe na 3.5 sijui nimeeleweka?
 
hhaahahhha eti wa machakarabotini
hv kwanini wanafanya hivi ukiwa na 2.7 yao wanakupokea ila ukiwa na kama hivyo vyuo vingine hawakupokei

Back
Top Bottom