Hivi naweza pata nyumba kwa 15,000,000/= | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi naweza pata nyumba kwa 15,000,000/=

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Logik, Sep 6, 2012.

 1. L

  Logik Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Waungwana habari zenu.

  Naomba kujuzwa kama nawezapata nyumba kwa hiyo hela hapa Dar maeneo ya Kimara, Mbezi au Tegeta au penginepo, hata kama haijamalizika. Kuna rafiki yangu anahitaji.

  Asanteni
   
 2. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  M2 wangu hiyo hata kiwanja nadhani unaweza ukakosa maeneo hayo labda mikoani.
   
Loading...