Hivi naweza kuingiza pesa kiasi gani kwa biashara hii?

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,293
Wadau napenda kuuliza hivi nikifungua biashara ya huduma ya uwakala wa kutuma miamala na ofisi yangu ikawa na huduma hizi kwa makadirio ya chini naweza pata bei gani kwa mwezi?

Tigopesa
Mpesa
Halopesa
Airtel money
CRDB agent
NMB agent
Western union
Na zingine kama mbili ivi

Wataalam na wazoefu wa izi kazi Mnisaidie
 
Kuna uzi jamaa anaingiza 1.5M na baadhi ya huduma ulizoweka hafanyi So hapo unaweza kula 2M ukipata sehemu ya dhahabu.
 
Back
Top Bottom