kipozi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2015
- 1,315
- 1,695
No zamani haikua GPA yoyote ile ilikua 2.7 ndo unaruhusiwa bt hata wa chini ya hapo walikua wanaingia vyuo vikuu bt mpaka chuo ulichosoma diploma wakuombee TCU walikua wanatuma barua na mtu anakubaliwa kuendelea na masomo na Sina uhakika Kama ni vyuo vyote wanafanya hivyo na hiki kitu bado kipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani kabla ya Prof. Ndalichako hajawa Waziri wa Elimu, Diploma holder wa GPA yoyote ile alikuwa anruhusiwa kusomea ngazi ya Shahada. Baada ya Prof. Ndalichako kuwa Waziri wa Elimu akishirikiana na TCU ikawekwa cut off GPA ya 3.0. Hivyo kwa sasa hivi hawezi kupata nafasi ya Shahada kwa GPA hiyo ya 2.9. Huo ndiyo ukweli wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app