Uchaguzi 2020 Hivi nawaza ikatokea Membe akagombea kupitia CHADEMA 2020

Yan Pamoja na Mapungfu ya Membe lakin mzee huyu anabebeka so kama Lowassa,
Ninawaza kwamba mfano Membe akaamua kwamba nahamia CHADEMA tu ni mshtuko mkubwa ndani ya CCM na inaweza ikasababisha mkulu kuchanganyikiwa zaidi,

Hii ni kwasababu, Membe Ana watu muhimu wa strategies siyo kama alivyokuwa LOWASSA mwenye wafuasi,

Naona MEMBE anaweza kuwa karata dume kwa CHADEMA 2020 kama akiamua kufikiria ishu hii,

FAIDA ZA MEMBE NDANI YA CHADEMA ENDAPO AKIENDA
1.Membe ni rahisi kunadika kuliko alivyokuwa LOWASSA, maana haitakuwa na kigugumizi.cha kumnadi, na pamoja na kwamba si msafi ila hajachafuliwa zaid kama alivyokuwa amechafuliwa Lowassa na image yake so mbaya kwa jamii kama alivyokuwa LOWASSA

2.Timu inayomzunguka Membe ni ya mipango mikakati zaidi, mbaya zaid hata hatujui ni to my iliyosheheni kina nani na nani zaid, tunajua wa juu juu, Lakin Lowassa ye alikuwa na Wafuasi tu na mashabiki wa mitandao ambao wasingeweza kuleta madhara sana ndani na nje ya CCM,

3.Energy ya Membe ya kujinadi na kupangilia Point kwa mawazo yangu naona anazid sana level a LOWASSA

4.Membe amekaa kimya kidogo na kuwatuliza wafuasi kama vile hataki urais , hajawa na mbwembwe sana kama LOWASSA alipokuwa anataka urais,

5.Membe ataikuta CHADEMA ambayo imeshajitambua kuliko Ile CHADEMA ya Viroba,

6.Membe kajiimarisha zaid nje ya Tanzania hasa kipindi hiki ambacho Tanzania inamulikwa mulikwa kwa kubanana kidemokrasia,
Lowassa wafuasi walikuwa akina Bashe na Msaga sumu,

7.Membe kisaikolojia amesharelax ahamaki sana na urais hata asipopata yuko tiyari kusaidiana na atakayepeperusha bendera kupitia CHADEMA, lakin LOWASSA ye aliamini kwamba lazima awe yeye na si mwingine,

Membe anaweza kuwa asset kwa CHADEMA

Nawaza tu,

Wengi wataipuuzia hii kwa sababu Lissu yuko Fire, na si lazima Membe akiwa CHADEMA agombee, anaweza saidiana na Lissu

HAYA NI MAWAZO YANGU HURU WALA SO TETESI AU SIJAAMBIWA NA MTU
good.ILA MEMBE HATOKI CCM ANABAKI HUKO HUKO MKUU.
 
Magufuri na Lissu ni watu tofauti kabisa.
Lissu is so visionary,
Civilized,
Anajua umuhimu wa demokrasia na utawala wa sheria,
Anaheshimu taaluma nyingine na ni rahisi kuruhusu mambo yafanyike kwa weredi kuliko kufanyika kimabavu na kihisia

Sent using Jamii Forums mobile app

You can't be serious!

Demokrasia ipi wakati ndani ya chama chake tu kuna ukiukwaji wa demokrasia na haongei wala.

Visionary ipi mbona haionekani kwenye taasis ambayo yeye ni kiongozi?
 
Ni wakati wa CDM kuona sasa nani anafaa kuwa mgombea wa urais ktk chama,
Wajipime kama wanahitaji mtu kutoka nje ya chama au laaa.
 
Yan Pamoja na Mapungfu ya Membe lakin mzee huyu anabebeka so kama Lowassa,
Ninawaza kwamba mfano Membe akaamua kwamba nahamia CHADEMA tu ni mshtuko mkubwa ndani ya CCM na inaweza ikasababisha mkulu kuchanganyikiwa zaidi,

Hii ni kwasababu, Membe Ana watu muhimu wa strategies siyo kama alivyokuwa LOWASSA mwenye wafuasi,

Naona MEMBE anaweza kuwa karata dume kwa CHADEMA 2020 kama akiamua kufikiria ishu hii,

FAIDA ZA MEMBE NDANI YA CHADEMA ENDAPO AKIENDA
1.Membe ni rahisi kunadika kuliko alivyokuwa LOWASSA, maana haitakuwa na kigugumizi.cha kumnadi, na pamoja na kwamba si msafi ila hajachafuliwa zaid kama alivyokuwa amechafuliwa Lowassa na image yake so mbaya kwa jamii kama alivyokuwa LOWASSA

2.Timu inayomzunguka Membe ni ya mipango mikakati zaidi, mbaya zaid hata hatujui ni to my iliyosheheni kina nani na nani zaid, tunajua wa juu juu, Lakin Lowassa ye alikuwa na Wafuasi tu na mashabiki wa mitandao ambao wasingeweza kuleta madhara sana ndani na nje ya CCM,

3.Energy ya Membe ya kujinadi na kupangilia Point kwa mawazo yangu naona anazid sana level a LOWASSA

4.Membe amekaa kimya kidogo na kuwatuliza wafuasi kama vile hataki urais , hajawa na mbwembwe sana kama LOWASSA alipokuwa anataka urais,

5.Membe ataikuta CHADEMA ambayo imeshajitambua kuliko Ile CHADEMA ya Viroba,

6.Membe kajiimarisha zaid nje ya Tanzania hasa kipindi hiki ambacho Tanzania inamulikwa mulikwa kwa kubanana kidemokrasia,
Lowassa wafuasi walikuwa akina Bashe na Msaga sumu,

7.Membe kisaikolojia amesharelax ahamaki sana na urais hata asipopata yuko tiyari kusaidiana na atakayepeperusha bendera kupitia CHADEMA, lakin LOWASSA ye aliamini kwamba lazima awe yeye na si mwingine,

Membe anaweza kuwa asset kwa CHADEMA

Nawaza tu,

Wengi wataipuuzia hii kwa sababu Lissu yuko Fire, na si lazima Membe akiwa CHADEMA agombee, anaweza saidiana na Lissu

HAYA NI MAWAZO YANGU HURU WALA SO TETESI AU SIJAAMBIWA NA MTU
Hana mvuto
 
Kama Chadema watamchukua awe Mgombea Urais wao litakuwa jambo jema kwa CCM. Ila Ndugu Membe hajawahi kuwa na strategies zozote wala kuwa na strategists wazuiri. Angelikuwa nao, leo ndie angelikuwa Rais wa JMT. Au aliwapata baada ya kushindwa kwenye kinyang'anyiro cha kutafuta Mgombea Urais ndani ya CCM? Maana nakumbuka alizidiwa na Fatma Said Ally, Dk. Asha-Rose Migiro na Jiwe lenyewe! Ahahahahhhh!
 
MEMBE HAWEZI KWENDA KUGOMBEA CHADEMA.

HANA SABABU YA KUFANYA HIVYO NA HANA NIA YA KUFANYA HIVYO.

ILA ISHIRINI ISHIRINI ATAGOMBEA KUPITIA CCM BAADA YA ONE TERM PRESDENTIAL YA JIWE.

MEMBE BADO ANA PROFILE NZURI SANA KARIKA WANA CCM.

HIVYO ACHA KUMWAZIA HAYO.

JIANDAE KISAIKOLOJIA KUMUONA MBOBEZI MEMBE MZEE WA RONDO CHIPONDA AKICHUKUA FORM .

TUNA IMANI NA BENARD MEMBE......🎼🎼🎼 OYE OYEE,MEMBE OYEE 🎻🎵🎶

STAY TUNED
He
 
Yan Pamoja na Mapungfu ya Membe lakin mzee huyu anabebeka so kama Lowassa,
Ninawaza kwamba mfano Membe akaamua kwamba nahamia CHADEMA tu ni mshtuko mkubwa ndani ya CCM na inaweza ikasababisha mkulu kuchanganyikiwa zaidi,

Hii ni kwasababu, Membe Ana watu muhimu wa strategies siyo kama alivyokuwa LOWASSA mwenye wafuasi,

Naona MEMBE anaweza kuwa karata dume kwa CHADEMA 2020 kama akiamua kufikiria ishu hii,

FAIDA ZA MEMBE NDANI YA CHADEMA ENDAPO AKIENDA
1.Membe ni rahisi kunadika kuliko alivyokuwa LOWASSA, maana haitakuwa na kigugumizi.cha kumnadi, na pamoja na kwamba si msafi ila hajachafuliwa zaid kama alivyokuwa amechafuliwa Lowassa na image yake so mbaya kwa jamii kama alivyokuwa LOWASSA

2.Timu inayomzunguka Membe ni ya mipango mikakati zaidi, mbaya zaid hata hatujui ni to my iliyosheheni kina nani na nani zaid, tunajua wa juu juu, Lakin Lowassa ye alikuwa na Wafuasi tu na mashabiki wa mitandao ambao wasingeweza kuleta madhara sana ndani na nje ya CCM,

3.Energy ya Membe ya kujinadi na kupangilia Point kwa mawazo yangu naona anazid sana level a LOWASSA

4.Membe amekaa kimya kidogo na kuwatuliza wafuasi kama vile hataki urais , hajawa na mbwembwe sana kama LOWASSA alipokuwa anataka urais,

5.Membe ataikuta CHADEMA ambayo imeshajitambua kuliko Ile CHADEMA ya Viroba,

6.Membe kajiimarisha zaid nje ya Tanzania hasa kipindi hiki ambacho Tanzania inamulikwa mulikwa kwa kubanana kidemokrasia,
Lowassa wafuasi walikuwa akina Bashe na Msaga sumu,

7.Membe kisaikolojia amesharelax ahamaki sana na urais hata asipopata yuko tiyari kusaidiana na atakayepeperusha bendera kupitia CHADEMA, lakin LOWASSA ye aliamini kwamba lazima awe yeye na si mwingine,

Membe anaweza kuwa asset kwa CHADEMA

Nawaza tu,

Wengi wataipuuzia hii kwa sababu Lissu yuko Fire, na si lazima Membe akiwa CHADEMA agombee, anaweza saidiana na Lissu

HAYA NI MAWAZO YANGU HURU WALA SO TETESI AU SIJAAMBIWA NA MTU
Leo ni kumbukumbu ya miaka 100 tangu azaliwe na kufariki baba wa taifa.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom