MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 3,684
- 5,009
Tunae Mwana wa Chadema halisi anakijua chama amekipigania sana si mwingine nae ni? Tundu Antipas mgwai lisu aka dikiteta uchwara anatoshaaaaa
Law and order yako hiyo kwa sheria na katiba tuliyonayo ndiyo iliyokuwepo tangia Nyerere ikafeli, ufisadi na ujambazi kuota mizizi.We need a president who will restore law and order, Lissu is a perfect fit.
ExactlyHuwezi tabiri hata kesho tu Chadema watafanya nini achilia mbali 2020! Matukio yao hayana probability distribution, linaweza likatokea jambo njiani tu na likawa kipaumbele chao, wewe na akili zako ukabaki unashagaa
Endelea kuwazaYan Pamoja na Mapungfu ya Membe lakin mzee huyu anabebeka so kama Lowassa,
Ninawaza kwamba mfano Membe akaamua kwamba nahamia CHADEMA tu ni mshtuko mkubwa ndani ya CCM na inaweza ikasababisha mkulu kuchanganyikiwa zaidi,
Hii ni kwasababu, Membe Ana watu muhimu wa strategies siyo kama alivyokuwa LOWASSA mwenye wafuasi,
Naona MEMBE anaweza kuwa karata dume kwa CHADEMA 2020 kama akiamua kufikiria ishu hii,
FAIDA ZA MEMBE NDANI YA CHADEMA ENDAPO AKIENDA
1.Membe ni rahisi kunadika kuliko alivyokuwa LOWASSA, maana haitakuwa na kigugumizi.cha kumnadi, na pamoja na kwamba si msafi ila hajachafuliwa zaid kama alivyokuwa amechafuliwa Lowassa na image yake so mbaya kwa jamii kama alivyokuwa LOWASSA
2.Timu inayomzunguka Membe ni ya mipango mikakati zaidi, mbaya zaid hata hatujui ni to my iliyosheheni kina nani na nani zaid, tunajua wa juu juu, Lakin Lowassa ye alikuwa na Wafuasi tu na mashabiki wa mitandao ambao wasingeweza kuleta madhara sana ndani na nje ya CCM,
3.Energy ya Membe ya kujinadi na kupangilia Point kwa mawazo yangu naona anazid sana level a LOWASSA
4.Membe amekaa kimya kidogo na kuwatuliza wafuasi kama vile hataki urais , hajawa na mbwembwe sana kama LOWASSA alipokuwa anataka urais,
5.Membe ataikuta CHADEMA ambayo imeshajitambua kuliko Ile CHADEMA ya Viroba,
6.Membe kajiimarisha zaid nje ya Tanzania hasa kipindi hiki ambacho Tanzania inamulikwa mulikwa kwa kubanana kidemokrasia,
Lowassa wafuasi walikuwa akina Bashe na Msaga sumu,
7.Membe kisaikolojia amesharelax ahamaki sana na urais hata asipopata yuko tiyari kusaidiana na atakayepeperusha bendera kupitia CHADEMA, lakin LOWASSA ye aliamini kwamba lazima awe yeye na si mwingine,
Membe anaweza kuwa asset kwa CHADEMA
Nawaza tu,
Wengi wataipuuzia hii kwa sababu Lissu yuko Fire, na si lazima Membe akiwa CHADEMA agombee, anaweza saidiana na Lissu
HAYA NI MAWAZO YANGU HURU WALA SO TETESI AU SIJAAMBIWA NA MTU
Hilo haliwezekani tena, kitabu kimefungwa.Yan Pamoja na Mapungfu ya Membe lakin mzee huyu anabebeka so kama Lowassa,

Yes mkuu, lakin kwa haraka Lissu sioni kama ni presidential material,
Ni kama Magufuli wote wale wale Mara mia wampe Zitto
hamna cha mara 100 wala 1000, rais wenu ni Magufuli mpaka 2025Yes mkuu, lakin kwa haraka Lissu sioni kama ni presidential material,
Ni kama Magufuli wote wale wale Mara mia wampe Zitto
Different phenotype,but the same genotype ko Lissu na Magufuli are the same speciesMagufuri na Lissu ni watu tofauti kabisa.
Lissu is so visionary,
Civilized,
Anajua umuhimu wa demokrasia na utawala wa sheria,
Anaheshimu taaluma nyingine na ni rahisi kuruhusu mambo yafanyike kwa weredi kuliko kufanyika kimabavu na kihisia
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo lissuYan Pamoja na Mapungfu ya Membe lakin mzee huyu anabebeka so kama Lowassa,
Ninawaza kwamba mfano Membe akaamua kwamba nahamia CHADEMA tu ni mshtuko mkubwa ndani ya CCM na inaweza ikasababisha mkulu kuchanganyikiwa zaidi,
Hii ni kwasababu, Membe Ana watu muhimu wa strategies siyo kama alivyokuwa LOWASSA mwenye wafuasi,
Naona MEMBE anaweza kuwa karata dume kwa CHADEMA 2020 kama akiamua kufikiria ishu hii,
FAIDA ZA MEMBE NDANI YA CHADEMA ENDAPO AKIENDA
1.Membe ni rahisi kunadika kuliko alivyokuwa LOWASSA, maana haitakuwa na kigugumizi.cha kumnadi, na pamoja na kwamba si msafi ila hajachafuliwa zaid kama alivyokuwa amechafuliwa Lowassa na image yake so mbaya kwa jamii kama alivyokuwa LOWASSA
2.Timu inayomzunguka Membe ni ya mipango mikakati zaidi, mbaya zaid hata hatujui ni to my iliyosheheni kina nani na nani zaid, tunajua wa juu juu, Lakin Lowassa ye alikuwa na Wafuasi tu na mashabiki wa mitandao ambao wasingeweza kuleta madhara sana ndani na nje ya CCM,
3.Energy ya Membe ya kujinadi na kupangilia Point kwa mawazo yangu naona anazid sana level a LOWASSA
4.Membe amekaa kimya kidogo na kuwatuliza wafuasi kama vile hataki urais , hajawa na mbwembwe sana kama LOWASSA alipokuwa anataka urais,
5.Membe ataikuta CHADEMA ambayo imeshajitambua kuliko Ile CHADEMA ya Viroba,
6.Membe kajiimarisha zaid nje ya Tanzania hasa kipindi hiki ambacho Tanzania inamulikwa mulikwa kwa kubanana kidemokrasia,
Lowassa wafuasi walikuwa akina Bashe na Msaga sumu,
7.Membe kisaikolojia amesharelax ahamaki sana na urais hata asipopata yuko tiyari kusaidiana na atakayepeperusha bendera kupitia CHADEMA, lakin LOWASSA ye aliamini kwamba lazima awe yeye na si mwingine,
Membe anaweza kuwa asset kwa CHADEMA
Nawaza tu,
Wengi wataipuuzia hii kwa sababu Lissu yuko Fire, na si lazima Membe akiwa CHADEMA agombee, anaweza saidiana na Lissu
HAYA NI MAWAZO YANGU HURU WALA SO TETESI AU SIJAAMBIWA NA MTU
Yan Pamoja na Mapungfu ya Membe lakin mzee huyu anabebeka so kama Lowassa,

Mwisho KABISAYan Pamoja na Mapungfu ya Membe lakin mzee huyu anabebeka so kama Lowassa,

Hiyo inajulikana
Mkuu umeeleza vema sana, lakin kwenye siasa kila jambo linawezekana sana,Nakuelewa Sana
info zako huwa za UKWELI
umenifanya nifikirishe kichwa na kuwaza.
ikitokea Membe akaenda CDM
atakuwa na impact kubwa KULIKO Lowassa
Huu Ni UKWELI mchungu!
kwanza kabisa
-Membe Ni jasusi mbobezi
-Ex- chairman alikuwa upande/team Yake
-Ushawishi wa Membe ki mataifa na ukanda (southern zone)
-Kama ulivyosema,Ni Mara 1000 kumnadi Membe kuliko Lowassa
-International support
Endapo Akichanga karata mapema nafasi anayo
lakini, Tena ndiyo utakuwa uchaguzi Mgumu kuliko hata wa 2015!
Tukija upande wa pili CDM
Wamejifunza kutokana na Lowassa
itakuwa ngumu Sanaa kumkubali Membe ukifuatilia na title yake ya (Jasusi mbobezi)
Hiyo itamuweka matatani
lakini endapo akaenda CDM,atakuwa assets sana maana taarifa za jikoni za upande wa 2,atakuwa anazo
swali langu Hili.
je,akienda CDM
Wafuasi wake kina
Ridhiwani,JK etc
nao wataunga naye?!?!
vp ushawishi na uaminifu wake kwa watu ambao Ni team Yake akiwemo JK.
Watabaki na Sauti ndani ya chama?!?!
hahahaha camoooooooon
SIASA tamu sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Halipingiki kwamba kwenye siasa kuna kuhama hama, na bahati mbaya zaid CHADEMA wao usubiria wanaotoka CCM Ndo wapewe benderabritanicca kwahiyo CHADEMA wao wamekuwa ni wala Mizoga tu ambayo huwa inaachwa na CCM nyakati za mwisho mwisho na pale wakikatwa Kugombea huko kisha Wao wanawatumia? Hata hivyo Membe hawezi na hatoweza kuwa ' threat ' kwa CCM kama ambavyo Mzee Lowassa mwaka 2015 alivyotufanya wana CCM wote muda mwingi Chupi zetu ziwe zinatupwelepweta tu huku tukionekana kama Wendawazimu na Usiku na mchana hatutali. Wewe Mzee Lowassa tusikufiche hata kama umerudi Nyumbani ila ama hakika ' Ulituhenyesha ' mno japo pia umetupa Funzo la Kutosha hivyo CCM hatutorudia tena Makosa.
Watu pia wanampigia chapuo zitto
Kwenye siasa kila jambo linawezekana sana
Ni ngumu sana hilo kutokea mkuu.
Ukizingatia tena 'Membe ni Jk' hata JK na familia yake hawezi kumshauri Membe hilo.
Kivipi mkuu
CHADEMA hawanaga msimamo, mfano hata nyota ya Slaa iling'ara ila akachinjiwa mbaaliiEL kwa vyovyote alimkimbia TL nyota imeng'ara kwa TL. japo fitina nyingi kwa mti wenye matunda ...