hivi Nape Nnauye hana shughuli nyingine ya kufanya ukiondoa siasa

Sina Nia mbaya wala kubeza ila nauliza serious. Labda ana makampuni au mashamba au hata kabiashara kadogo kakumuweka busy ukiondoa shughuli za Ubunge. Maana naamini mtaji atakuwa nao . Mwisho nashauri hata wabunge wengine wawe na miradi yao hata kama ni midogo itakayowaweka busy pindi watakapokuwa nje ya siasa. Wasitegemee sana siasa. Asanteni

Akudo Impact au FM Academia au Twanga Pepeta hawawezi kumuacha kwani ukiachilia mbali masuala ya Siasa pia ni mpiga Gitaa mzuri sana wa Rhythm na Kinanda. Kuimba pia yuko vizuri vile vile!
 
Back
Top Bottom