Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
66,989
173,597
"Bebi Leo tunakula nini?"

Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu.

Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
 
Kuwaza Cha kupika huwa ni kazi ngumu hata kukiwa na kila kitu, nakumuuliza mume nikujua anapenda nini kipikwe nisije kupika kitu asichokipenda. So kusaidiana mawazo kuhusu msosi ni Jambo zuri na linapunguza mzigo kwa mpigaji na njia rahisi ni kuwa na ratiba ya msosi
 
kweli aliyesema binadamu hatuna chema hakukosea kabisa. Sasa mkuu kuna ubaya gani kuulizwa hivyo aisee. Si unamjibu tu unachojisikia kula siku hiyo kaka. Tena kakuuliza kimahaba kabisa aisee.

Laiti ungejua kiasi cha raia kisichoulizwa hayo maswali na wanaombea kiasi gani waulizwe!
 
Hahahah yan tumeshakuwa wachumba sugu tukaamua kuhalalisha ndoa halafu uwe hujui nachopenda kula. Amna mwanaume asiependa nyama na ugali bana ila tu naachoona wanawake ambao hawana interest na ubunifu jikoni ndio watu wa kuuliza uliza hili swali.
 
kweli aliyesema binadamu hatuna chema hakukosea kabisa. Sasa mkuu kuna ubaya gani kuulizwa hivyo aisee. Si unamjibu tu unachojisikia kula siku hiyo kaka. Tena kakuuliza kimahaba kabisa aisee.

Laiti ungejua kiasi cha raia kisichoulizwa hayo maswali na wanaombea kiasi gani waulizwe!
Mkuu...kuish na mtu ndan ni kaz kuliko watu wanavyofkiri....mi kuna siku dem wangu akinigusa namwambia..toa mkono unanikera..acha tu..kuish na mtu kitanda ki1..miaka nenda rud inataka moyo sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom