Hivi nani haweki hela kwa Mama yake kwa sisi wanaume?

Hayajakukuta ndio maana unamuamini bimkubwa, Akifa pesa zinakuwa za urithi, pia ni udhaifu sana huo.
Hukuumbwa mwanaume kwa bahati mbaya, Jiamini na uwe na maamuzi yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunatofauti kubwa kati ya mwanaume na mvulana

MWANAUME mwanaume unatakiwa ujisimamie mwenyewe mambo yako sio,mambo ya nyumbani kwako uyasimamie kwa uaminifu
MUNGU alivyosema utamuacha BABA yako na mama yako utaambatana na mkeo alikuwa na maana kubwa sana,Kunafaida kubwa mkeo akawa kibubuchako kwani mwanamke anaona mbele mno
Hivi mwanaume una miaka 50 unatunza pesa kwa mamayako unajiita mwanaume?mambo yako utayafanya saa ngapi?


MVULANA hana malengo,hana maamuzi yake mwenyewe,miaka 50 haoni kitu cha kufanya anamke na watt 5 haoni kitu cha kufanya,huyuu ni mvulana hata kama anamiaka 50,yote haya inategemea na malezi aliyolelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom