Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 9,014
- 15,696
Umeeleweka vizuri sana mkuu. Mungu akubariki.
Haya mkuu asante!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeeleweka vizuri sana mkuu. Mungu akubariki.
Mh Tundu Lissu ni shida sana huyu bwana niliwahi mshuhudia alipomsimamia kesi marehemu Kasuku Bilago aliyekuwa mbunge wa Buyungu (Chadema) baada ya uchaguzi mkuu wa 2015 na kuishinda, duh huyu jamaa anajua sana aisee!Kibatala yuko juu sana kulinganisha na Lissu,
Kinachompaisha lissu ni political mileage tu
Safiiii...Kibatala yuko juu sana kulinganisha na Lissu,
Kinachompaisha lissu ni political mileage tu
Mbona kesi karibu zote ni hizo hizo, basi kumbe zote ni complicatedZa kusakiziwa, kuhujumu uchumi, kukutwa na silaha, kukwepa kodi, au kubaka,
MsandoAliyempapasa Gigy money ni nani?
Wewe msagaji unaguna mini?
hivi wewe unanidai? kuguna dhambi?
Sio kweli kinamchopaisha Tundu ni kua anaijia sheria in-out na ni aggressive sio mayai mayai.Kibatala yuko juu sana kulinganisha na Lissu,
Kinachompaisha lissu ni political mileage tu
Kwa AG na DPP ndo uozo kabisa vilaza watupu wale.....labda wajilinganishe wale mana kesi wanazoweza kushinda ni za wizi wa kuku tena mtuhumiwa awe hajatetewa na wakili!Tuwalinganishe hao kwanza na AG halafu turudi huku.
Hamna cha Senior na Junior....wanatumia kigezo cha kua senior ili kuleta threat kwa junior ambaye wanaona ni tishio.Huku tuna senior na junior.
hayo mengine utayapata kwenye kupima wachezaji wa mpira na idadi ya magoli waliyofunga
Kibatala alipigwa Kesi ya Lulu akapigwa ile ya Sugu mbeya...kidogo apigwe ile ya Wema Sepetu...Tangu Tundu Lisu aende kwenye matibabu, kibatala hajashinda kesi, zinahairishwa tu.
Mkuu tupe historia basi mkuu kwa faida yetu sisi na vizazi vijavyoVipi pale mkoan mara lisu akati amepewa kazi yakuwatetea wafungwa chacha wangwe (akiwa down) nawezake 1998.unakumbuka alifanya nn lisu nahadi leo hayupo mwanasheria aliyvunja rekodi ile.. Kama mtu humfahamu usikoment soma koment zawezako
Mimi ni wakili nimepata fursa ya kufuatilia hawa mawakili wawili kwa karibu sana. Ninachoweza kusema ni kwamba kumlinganisha Tundu Lissu na Peter Kibatala ni sawa na kulinganisha mlima na kichuguu, Lissu ni mlima na Kibatala ni kichuguu. Kibatala is very ordinary lawyer sema tu anajua kujitangaza vizuri sana (good marketing strategies). Kwa wale waliokuwepo mahakama kuu mbele ya majaji 3 kwenye kesi ya Mitaa 200 mwaka 2015 mliona siku jinsi naibu mwanasheria mkuu wa wakati huo Dr. Tulia Akson Mwansasu alivyomtoa jasho Kibatala ambaye alipoteza network kabisa hakawa kama vile hakujiandaa kabisa wakati Dr. Tulia sio legal practitioner bali ni academician lakini alimdhibiti Kibatala kikamilifu. Kibata alishindwa kesi ya Mita 200, Lissu hajawahi kushindwa kesi yoyote ambayo serikali ni mshitaki au mshitakiwa, kila mtu anajua jinsi Lissu alivyoigalagaza Serikali mahakamani kwenye kesi ya ugaidi dhidi ya Lwakatare na Ludovick Rwezaura au kwenye kesi ya uchaguzi ya Lema katika mahakama ya rufaa. Pia kesi Wasira dhidi ya Esther Bulaya kila mtu aliona jinsi Lissu alivyomfanyia kitu kibaya Wasira, Lissu kampiga Wasira mahakama kuu mara mbili na kampiga tena mahakama ya rufaa mpaka Wasira akaamua kustaafu siasa. Tundu Lissu hiyo ni habari nyingine, inaweza kuichukua nchi hii miaka 200 kupata mwanasheria bora kama Lissu. Unaposema top class lawyers wa Tanzania utawataja mawakili kama Lissu, Prof. Kabudi, Prof. Luoga, Magafu, Dr. Kilangi, Masumbuko Lamwai, Dr. Tenga na wengine wachache lakini sio bwana mdogo Peter Kibatala.Hawa ni wanasheria nguli wote wanatetea upinzani,
Mi nawapima wanasheria kwa kuangalia yafuatayo
1.Idadi ya kesi alizoshinda
2.Idadi ya maamuzi Tata ya utafasiri wa sheria ambayo kayatatua yakawa mwongozo kwa wengine,
3.Idadi ya wateja reputable aliwatetea kwa crucial cases na kawashinda
4.idadi ya complicated cases ambazo amelegeza kwa kupangua vifungu mpaka zikawa za kawaida
Je kati ya hao wawili nani mkali sana?
Britannica
Mkuu tupe historia basi mkuu kwa faida yetu sisi na vizazi vijavyo
MNHHHH
Kwanini umeamua kuwa msagaji??