Hivi nani competent kati ya Tundu Lissu Vs Peter Kibatala?

Hawa ni wanasheria nguli wote wanatetea upinzani,

Mi nawapima wanasheria kwa kuangalia yafuatayo
1.Idadi ya kesi alizoshinda
2.Idadi ya maamuzi Tata ya utafasiri wa sheria ambayo kayatatua yakawa mwongozo kwa wengine,
3.Idadi ya wateja reputable aliwatetea kwa crucial cases na kawashinda
4.idadi ya complicated cases ambazo amelegeza kwa kupangua vifungu mpaka zikawa za kawaida

Je kati ya hao wawili nani mkali sana?

Britannica
Unatumia kidgezo gani kusema hii ni "complicated case"
 
Hawa ni wanasheria nguli wote wanatetea upinzani,

Mi nawapima wanasheria kwa kuangalia yafuatayo
1.Idadi ya kesi alizoshinda
2.Idadi ya maamuzi Tata ya utafasiri wa sheria ambayo kayatatua yakawa mwongozo kwa wengine,
3.Idadi ya wateja reputable aliwatetea kwa crucial cases na kawashinda
4.idadi ya complicated cases ambazo amelegeza kwa kupangua vifungu mpaka zikawa za kawaida

Je kati ya hao wawili nani mkali sana?

Britannica
As long as kibatala na Lissu ni wanachadema, hakuna kilaza hapo.
 
Kuna wanasheria wengi mjengoni including wa sisi M hebu tuambie wasifu wao wa kesi walizoshinda kama maelezo yanavyojieleza kwenye uzi, why Lisu alone?
Wanasheria wapo kama kina mzee chenge
 
Hawa ni wanasheria nguli wote wanatetea upinzani,

Mi nawapima wanasheria kwa kuangalia yafuatayo
1.Idadi ya kesi alizoshinda
2.Idadi ya maamuzi Tata ya utafasiri wa sheria ambayo kayatatua yakawa mwongozo kwa wengine,
3.Idadi ya wateja reputable aliwatetea kwa crucial cases na kawashinda
4.idadi ya complicated cases ambazo amelegeza kwa kupangua vifungu mpaka zikawa za kawaida

Je kati ya hao wawili nani mkali sana?

Britannica
Lissu si ndio huyu aliyesema tutashtakiwa MIGA au sio
 
Tundu Lissu ndiye aliishawishi Mahakama ya Rufaa kubatilisha ile kanuni ya kwamba wapiga kura ndiyo wafungue mashtaka Mahakama ni kupinga ubunge. Ilikuwa kwenye kesi ya Lema.

Nakumbuka, Mahakama Kuu Arusha ilimvua Lema ubunge, ila Lissu akakata rufaa.

Lema alishinda na kurejeshewa ubunge. Ilikuwa uchaguzi wa 2010.

Prof Gamalieli Mgongo Fimbo, ni mwanasheria maarufu wa Ardhi, ila katika harakati zote hadi anastaafu pale UDSM, alishinda kesi moja tu, ambayo hata juzi pale Kimara, Rais aliitaja. Ni kesi ya Abbualy Bhatia and Others vs AG.

Interestingly, kesi nyingi ambazo Prof Fimbo alishindwa, ambazo ni zaidi ya 40, Mahakama Kuu katika kesi hii ya Abualy, ilirejea hoja za Prof Fimbo katika kesi alizoshindwa awali.

Nakumbuka, Mahakama Kuu ilikaa Full Bench, yaani Majaji watano kwenye kesi ya Abuali, na wakamuita Prof Fimbo kama Amicus Curiae, yaani friend of Court ili kuwashauri.

Kumbuka, kwenye kesi za awali zilizofafana kimaudhui na hii ya Abualy, Mahakama ilizitupa Hoja za Fimbo, ila baadaye wakagundua kwamba walikuwa wanakosea.

Walichokifanya, walibatilisha kesi zote walizoziamua dhidi ya hoja za Fimbo na wenzake, na sasa wakaungana na Prof Fimbo.

Hoja Kuu katika hizo kesi ikiwemo hii ya Abualy, Ilikuwa je, kati ya hati ya kimila na hati ya kisheria ni ipi ina nguvu?

Yaani customary right of occupancy vs Granted Right of Occupancy.

Na hoja za Prof Fimbo nyingi ziliingizwa katika Sheria ya Ardhi na ile Sheria ya Ardhi ya Kijiji.

Kwa hiyo, kuwapima mawakili kwa kesi walizoshinda, unaweza ukakosea maana kuna wengine kama Fimbo wana hoja nzito ila hazishindi kesi na badala yake, Serikali inazitumia hizo hoja kurekebisha Sheria.

Na pia Mahakama inazitumia hizo hoja kubadilisha na kuboresha hukumu zake.

Samahani kwa comment ndefu.
 
Aliyewafanya manjuka wote UDSM kuaza kuchangia midaharo nkuruma niyeye lisu baada yakujenga hoja ili kubadili sheria iliyokuwepo kandamizi dhidi ya manjuka(mwaka wakwanza).niyeye lisu hizo nazo nirekodi hizo.1992-3..mleta mada mwakahuo sijui ulikua wap
 
Tundu Lissu ndiye aliishawishi Mahakama ya Rufaa kubatilisha ile kanuni ya kwamba wapiga kura ndiyo wafungue mashtaka Mahakama ni kupinga ubunge. Ilikuwa kwenye kesi ya Lema.

Nakumbuka, Mahakama Kuu Arusha ilimvua Lema ubunge, ila Lissu akakata rufaa.

Lema alishinda na kurejeshewa ubunge. Ilikuwa uchaguzi wa 2010.

Prof Gamalieli Mgongo Fimbo, ni mwanasheria maarufu wa Ardhi, ila katika harakati zote hadi anastaafu pale UDSM, alishinda kesi moja tu, ambayo hata juzi pale Kimara, Rais aliitaja. Ni kesi ya Abbualy Bhatia and Others vs AG.

Interestingly, kesi nyingi ambazo Prof Fimbo alishindwa, ambazo ni zaidi ya 40, Mahakama Kuu katika kesi hii ya Abualy, ilirejea hoja za Prof Fimbo katika kesi alizoshindwa awali.

Nakumbuka, Mahakama Kuu ilikaa Full Bench, yaani Majaji watano kwenye kesi ya Abuali, na wakamuita Prof Fimbo kama Amicus Curiae, yaani friend of Court ili kuwashauri.

Kumbuka, kwenye kesi za awali zilizofafana kimaudhui na hii ya Abualy, Mahakama ilizitupa Hoja za Fimbo, ila baadaye wakagundua kwamba walikuwa wanakosea.

Walichokifanya, walibatilisha kesi zote walizoziamua dhidi ya hoja za Fimbo na wenzake, na sasa wakaungana na Prof Fimbo.

Hoja Kuu katika hizo kesi ikiwemo hii ya Abualy, Ilikuwa je, kati ya hati ya kimila na hati ya kisheria ni ipi ina nguvu?

Yaani customary right of occupancy vs Granted Right of Occupancy.

Na hoja za Prof Fimbo nyingi ziliingizwa katika Sheria ya Ardhi na ile Sheria ya Ardhi ya Kijiji.

Kwa hiyo, kuwapima mawakili kwa kesi walizoshinda, unaweza ukakosea maana kuna wengine kama Fimbo wana hoja nzito ila hazishindi kesi na badala yake, Serikali inazitumia hizo hoja kurekebisha Sheria.

Na pia Mahakama inazitumia hizo hoja kubadilisha na kuboresha hukumu zake.

Samahani kwa comment ndefu.
Umeeleweka vizuri sana mkuu. Mungu akubariki.
 
Back
Top Bottom