Hivi nani competent kati ya Tundu Lissu Vs Peter Kibatala?

Hapo nisawa na mwanamusik wa Hip-Hop na mwanamuziki wa R&B , japo wote ni wanamusiki lakini style za kuimba ni tofauti,

Hivyo basi kibatala yeye yupo kwenye mambo ya kesi kwa ujumla , lakini Lissu yeye ametulia na mambo ya siasa , japo wote ni mabigwa wa kesi
 
Tundu Lisu ni level nyingine.

Tundu ana in born qualities zote za a competent Defense Attorney.
His aggressiveness ni silaha moja tosha sana.

Kibatala sio aggressive yupo SOFT sana ndo mana ana struggle sana dhidi ya hawa MaState Attorney ambao kama bila kuwaletea itikadi za kiislam dhidi ya mbwa wanakupanda kichwani!

Yani Tundu ni mpambanaji sana plus anajua nini anachokifanya.

Kibatala hana zile caliber za upambanaji like sio an aggressive, hungry fighter...angekua ktk boxing ungesema ana style ya Floyd.

Tundu ni kama enzi zile Iron Mike na peek-a-boo style iliyokua develeped by the legendary trainer Cus D'amato!

So ogopa mtu ambaye naturally ni aggressive afu anajua mambo...kuyapigania....tofauti na yule mpole anayejua mambo ila kupigania ndo ishu.
 
Kibatala yuko juu sana kulinganisha na Lissu,
Kinachompaisha lissu ni political mileage tu
Sio kweli kinamchopaisha Tundu ni kua anaijia sheria in-out na ni aggressive sio mayai mayai.

Kama Anakuvaa anakuvaa kweli!

Cheki ile video akiwa kisutu anamjambisha yule askari anataka kumkamata mtuhumiwa kisutu bila kua na warrant au kusema kosa lake nini!

Sasa Kibatala style kama zile hawezi yule yupo kidiplomasia zaidi...
Ila zile style ndo zenyewe unapodeal na mapolisi au mawakili wa serikali.....

Tundu yupo kote kote ukorofi yupo na diplomasia yupo so inategemea unakujaje!

Hata kupigw Risasi nyingi nayo inaonesha nani ni threat!
 
Huku tuna senior na junior.

hayo mengine utayapata kwenye kupima wachezaji wa mpira na idadi ya magoli waliyofunga
Hamna cha Senior na Junior....wanatumia kigezo cha kua senior ili kuleta threat kwa junior ambaye wanaona ni tishio.

Utaskia we bwana mdogo hujui kitu mm ni senoior eti kumbe jitu tupu kichwani kiseng.e na limepractice law kwa muda mrefu.

Pumbavu kabisa
 
Vipi pale mkoan mara lisu akati amepewa kazi yakuwatetea wafungwa chacha wangwe (akiwa down) nawezake 1998.unakumbuka alifanya nn lisu nahadi leo hayupo mwanasheria aliyvunja rekodi ile.. Kama mtu humfahamu usikoment soma koment zawezako
Mkuu tupe historia basi mkuu kwa faida yetu sisi na vizazi vijavyo
 
Hawa ni wanasheria nguli wote wanatetea upinzani,

Mi nawapima wanasheria kwa kuangalia yafuatayo
1.Idadi ya kesi alizoshinda
2.Idadi ya maamuzi Tata ya utafasiri wa sheria ambayo kayatatua yakawa mwongozo kwa wengine,
3.Idadi ya wateja reputable aliwatetea kwa crucial cases na kawashinda
4.idadi ya complicated cases ambazo amelegeza kwa kupangua vifungu mpaka zikawa za kawaida

Je kati ya hao wawili nani mkali sana?

Britannica
Mimi ni wakili nimepata fursa ya kufuatilia hawa mawakili wawili kwa karibu sana. Ninachoweza kusema ni kwamba kumlinganisha Tundu Lissu na Peter Kibatala ni sawa na kulinganisha mlima na kichuguu, Lissu ni mlima na Kibatala ni kichuguu. Kibatala is very ordinary lawyer sema tu anajua kujitangaza vizuri sana (good marketing strategies). Kwa wale waliokuwepo mahakama kuu mbele ya majaji 3 kwenye kesi ya Mitaa 200 mwaka 2015 mliona siku jinsi naibu mwanasheria mkuu wa wakati huo Dr. Tulia Akson Mwansasu alivyomtoa jasho Kibatala ambaye alipoteza network kabisa hakawa kama vile hakujiandaa kabisa wakati Dr. Tulia sio legal practitioner bali ni academician lakini alimdhibiti Kibatala kikamilifu. Kibata alishindwa kesi ya Mita 200, Lissu hajawahi kushindwa kesi yoyote ambayo serikali ni mshitaki au mshitakiwa, kila mtu anajua jinsi Lissu alivyoigalagaza Serikali mahakamani kwenye kesi ya ugaidi dhidi ya Lwakatare na Ludovick Rwezaura au kwenye kesi ya uchaguzi ya Lema katika mahakama ya rufaa. Pia kesi Wasira dhidi ya Esther Bulaya kila mtu aliona jinsi Lissu alivyomfanyia kitu kibaya Wasira, Lissu kampiga Wasira mahakama kuu mara mbili na kampiga tena mahakama ya rufaa mpaka Wasira akaamua kustaafu siasa. Tundu Lissu hiyo ni habari nyingine, inaweza kuichukua nchi hii miaka 200 kupata mwanasheria bora kama Lissu. Unaposema top class lawyers wa Tanzania utawataja mawakili kama Lissu, Prof. Kabudi, Prof. Luoga, Magafu, Dr. Kilangi, Masumbuko Lamwai, Dr. Tenga na wengine wachache lakini sio bwana mdogo Peter Kibatala.

Kuna vitu sitaki kuongea kuhusu udhaifu wa Kibatala kwenye tasnia ya sheria maana staki nimvunjie heshima yake.
 
Nitakupa usijali. Nahapo ndipo mbowe alipomtambua lisu kwamara yakwanza nakumpa pick up ili afanye fasta kudeal na kupindua hukumu mahakaman(enzi hizo lisu akiwa Nccr mageuzi. Lakini kule mara alikua katumwa/kaagizwa na Amerika kupitia taasis ya uhifadhi wamazingira TZ.kufatilia nakuandaa ripoti nikweli wananchi wapale wamefukiwa baada ya gvt ya Ben kuwapa wawekezaji ardh ili wachimbe madini(mgodi North mara). Akati vuguvugu linaendelea Wale wapingaji wakiongozwa na chacha wangwe akiwa diwani baadhi walikamatwa pamoja na chacha walifika 40.wakafunguliwa mashitaka ya uhaini. Chacha akagongwa maisha hawa wengine ili 30 kilammoja.. Siku yahukumu chacha alimwambia mbowe (98 alikua Katibu),kwamba kunamtu mwanasheria anaitwa lisu mtafte yupo hapa anakazi maalum atusaidie(kumbuka tayari wameshasomewa),basi kumtafta lisu akampata wakaka nakuongea ila lisu kwambowe aliomba tu msada wa gari kwani ye lisu akiwa kule alikua anatumia baiskeli kwenye maswala yake.kwaufupi ndani ya mwezi mmoja aliwatoa wote chacha nawezake, yote nikwamba lisu aliipindua hukumu ile nawatu kua huru ilikua mahakama kuu kanda yatabora. Rekodi ile haijavunjwa bado.
Mkuu tupe historia basi mkuu kwa faida yetu sisi na vizazi vijavyo
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom