Hivi nani anatuangusha??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi nani anatuangusha???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MGANGA WA KIENYEJI, Sep 17, 2012.

 1. MGANGA WA KIENYEJI

  MGANGA WA KIENYEJI JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  jamani hivi tatizo la tanzania ni kikwete au ni watanzania wenyewe? Hivi kuna raisi ambae amewahi kutukwana zaidi ya huyu na bado yopo cool tu. Hivi kama wateule wake wote wangefanya kazi kama mwakyembe au magufuli, nani angepiga makelele? Sasa inakuaje katika wateule wote wawe ni hao wawili tu wanao onyesha tofauti. Tatizo sio bongo zetu kweli? Mimi sikumchagua wala si mwanachama wa chama chake tangu nikiwa mtoto, niliapa situkua ccm hata kama nita kosa nafasi ya kuendelea na masoma kama tulivyo kua tuna ambiwa, lakini ubina adamu una nituma niseme, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

  Hebu tuwe realistic kidogo hapa, then tumuhukumu.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Tumefika hapa tulipo kutokana na:~
  •Udhaifu wa Rais JK
  •Baadhi ya Wabunge mambumbumbu
  •Chama cha Mabwepande

  By JJMnyika
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  KK sina cha kuongezea umeshamaliza...
   
 4. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2017
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,862
  Likes Received: 3,309
  Trophy Points: 280
  Me Naona Watu wa Kagera tumeangushwa Sana...
   
 5. shiu yang

  shiu yang JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2017
  Joined: Sep 16, 2016
  Messages: 2,257
  Likes Received: 3,852
  Trophy Points: 280
  Wewe ni Mganga wa kienyeji vip umeshindwa kupiga ramli au..!!??
   
Loading...