Hivi nani alishawahi kushudia Hilo?

Kingsharon92

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
7,554
9,531
Hajambo wanajamvi ?
Naomba Leo tuchangie ushuhuda wa haya Mambo
Kwa miongo Kama sita hivi nimeshuhidia wanawake kina dada kina mama wakikamatwa wameiba Ila sijawahi kushuhudia wakipewa kichapo na wananchi
Kama ilivyo kwetu vidume ukidakwa wafaaa
Je Nani amewahi kushuhudia mwanamama dada kaiba halafu wananchi wakafanya yao?
 
kuna yule mmoja 2014 huko alishikwa kwa kuchoresha ramani za wizi wa piki piki,walimpiga sana mpaka kumuingizia miti sehemu nyeti akafariki.
 
Hajambo wanajamvi ?
Naomba Leo tuchangie ushuhuda wa haya Mambo
Kwa miongo Kama sita hivi nimeshuhidia wanawake kina dada kina mama wakikamatwa wameiba Ila sijawahi kushuhudia wakipewa kichapo na wananchi
Kama ilivyo kwetu vidume ukidakwa wafaaa
Je Nani amewahi kushuhudia mwanamama dada kaiba halafu wananchi wakafanya yao?
Kwetu wananyunyuziwa vichapo kama kawaida
 
mitaa ya tandika magorofani kuna binti mmoja walimdaka kaingia ndani kabisaa mapaka chumbani, kaiba vizuri lakini alivyotoka tu kumaliza kazi wakamdaka

nakumbuka alipigwa mbata zakutosha tu, na bakora za mgongo na matako alipigwa sanaa lakin awakumdedisha

nahisi saiv tupo kwenye uchumi wa kati raia hawana hasira kalii
 
Kweli mkuu tupo uchumi wa kati, maana miaka ya tisini hivi matukio ya watu kupigana hadharani, ujambazi na wizi wa mchana na usiku ilikuwa ni matukio ya kila siku!

Ingawa sishawishiki kuamini kama dunia inaenda kuwa mahali salama.
 
Hajambo wanajamvi ?
Naomba Leo tuchangie ushuhuda wa haya Mambo
Kwa miongo Kama sita hivi nimeshuhidia wanawake kina dada kina mama wakikamatwa wameiba Ila sijawahi kushuhudia wakipewa kichapo na wananchi
Kama ilivyo kwetu vidume ukidakwa wafaaa
Je Nani amewahi kushuhudia mwanamama dada kaiba halafu wananchi wakafanya yao?
Tatizo asali ile waliyo nayo
 
Back
Top Bottom