Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,554
- 9,531
Hajambo wanajamvi ?
Naomba Leo tuchangie ushuhuda wa haya Mambo
Kwa miongo Kama sita hivi nimeshuhidia wanawake kina dada kina mama wakikamatwa wameiba Ila sijawahi kushuhudia wakipewa kichapo na wananchi
Kama ilivyo kwetu vidume ukidakwa wafaaa
Je Nani amewahi kushuhudia mwanamama dada kaiba halafu wananchi wakafanya yao?