mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,446
- 985
Naomba kujuzwa na vindaki ndaki wa CCM ama yeyote mwenye kujua kadhia hii, Nani hasa alianzisha wazo la CCM kuacha kuamini katika taasisi badala yake inaamini katika watu?
Maana hili si jambo dogo kumbukeni hata waasisi wa taifa letu walikuwa wakisisitiza tasisi imara na sio watu imara, hata baba wa taifa Mwl Nyerere marehemu aliwahi kusema kwenye hotuba zake kuwa ni nani mwenye mfuko mkubwa kuweza wa kuweza kuiweka serikali yote mfukoni mwake? Yote ilikuwa ni kuonyesha hakuna mtu imara kuliko taasisi yeyote.
Sasa tunaona tangu uchaguzi 2015 kuna watu muhimu kuliko taasisi za vyama vyao, mpaka kina Lipumba wanaonekana muhimu kuliko taasisi nzima ya CUF iliyokuwepo kabla yao hii haiingii akilini tunawekaje rehani taasisi nzima kwa mtu mmoja???
Tujadiliane........ Tusije iweka rehani Nchi nzima kwa mtu mmoja tutaangamia.
Mzee mzima haishiwi maneno