Hivi Mzumbe University siku hizi mbona haivumi?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Nakumbuka mwaka 2009 wakati ndo nimemalza 4m 6, mzumbe university walikua wanaringa kuchukua wanafunzi 2naotegemea Heslb na badala yake wakawa wanachukua wa2 wenye dv 3 wengi kwa kigezo cha kwamba wao ni private sponsered.

Kiukwel mwenyewe wakati niko secondary nlikua na ndoto za kusoma mzumbe cku moja kutokana na sifa kem kemu nlzokuaga nazckia zikikitangaza hcho chuo, bac ikatoe muda wa kufanya application ulvofka,nkaaply udsm, mzumbe, IAA na udom.

Matokeo yangu hayakuwa mabaya sana kiac cha kunifanya nikose chuo chochote hapa ulimwenguni..cha kushangaza selection zlvotoka nkawa nimepata udsm, IAA, na Udom lakini mzumbe wakawa wamenipga chini.

Well nkaconfirm zangu kwenda udsm lakini nkiwa na huzuni kwan chaguo langu lilikua mzumbe na wao wamenpga chini, kufika udsm na nilipozoea shule..nkaanza kufanya comparisons kati ya udsm na mzumbe nione wapi pana shule ya ukweli,nkaja kugundua kwamba mzumbe wanahitaji miaka takribani 50 ili kufikia nusu ya mafanikio ilyonayo udsm..sasa nkawa najiuliza zile mbwembwe nlzokua nazkia kuhusu mzumbe zlikua ni za nin?

Baadae tcu wakashka rungu la kupangia wa2 vyuo,ndo siisikii tena hyo mzumbe kabisa,cjui imefia wapi vile,nimebaki kuckia madogo wakikimbilia kuaply udsm, sua, udom, ifm na muhimbili..cjui wamegundua mchezo gani mchafu unaochezwa huko mzumbe hadi hawakishobokei tena kama enzi ze2...
 
Nakumbuka mwaka 2009 wakati ndo nimemalza 4m 6,mzumbe university walikua wanaringa kuchukua wanafunzi 2naotegemea Heslb na badala yake wakawa wanachukua wa2 wenye dv 3 wengi kwa kigezo cha kwamba wao ni private sponsered.kiukwel mwenyewe wakati niko secondary nlikua na ndoto za kusoma mzumbe cku moja kutokana na sifa kem kemu nlzokuaga nazckia zikikitangaza hcho chuo,bac ikatoe muda wa kufanya application ulvofka,nkaaply udsm,mzumbe,IAA na udom,Matokeo yangu hayakuwa mabaya sana kiac cha kunifanya nikose chuo chochote hapa ulimwenguni..cha kushangaza selection zlvotoka nkawa nimepata udsm,IAA,na Udom lakini mzumbe wakawa wamenipga chini,wel nkaconfirm zangu kwenda udsm lakini nkiwa na huzuni kwan chaguo langu lilikua mzumbe na wao wamenpga chini,kufika udsm na nilipozoea shule..nkaanza kufanya comparisons kati ya udsm na mzumbe nione wapi pana shule ya ukweli,nkaja kugundua kwamba mzumbe wanahitaji miaka takribani 50 ili kufikia nusu ya mafanikio ilyonayo udsm..sasa nkawa najiuliza zile mbwembwe nlzokua nazkia kuhusu mzumbe zlikua ni za nin?baadae tcu wakashka rungu la kupangia wa2 vyuo,ndo siisikii tena hyo mzumbe kabisa,cjui imefia wapi vile,nimebaki kuckia madogo wakikimbilia kuaply udsm,sua,udom,ifm na muhimbili..cjui wamegundua mchezo gani mchafu unaochezwa huko mzumbe hadi hawakishobokei tena kama enzi ze2...

uandishi wako mbovu.
 
Kile co chuo ni Tuition centre(mzumbe tuition centre).....
Halafu wewe nawe waweza kuwa mwanafunzi wa mzumbe lahasha .
 
Nakumbuka mwaka 2009 wakati ndo nimemalza 4m 6,mzumbe university walikua wanaringa kuchukua wanafunzi 2naotegemea Heslb na badala yake wakawa wanachukua wa2 wenye dv 3 wengi kwa kigezo cha kwamba wao ni private sponsered.kiukwel mwenyewe wakati niko secondary nlikua na ndoto za kusoma mzumbe cku moja kutokana na sifa kem kemu nlzokuaga nazckia zikikitangaza hcho chuo,bac ikatoe muda wa kufanya application ulvofka,nkaaply udsm,mzumbe,IAA na udom,Matokeo yangu hayakuwa mabaya sana kiac cha kunifanya nikose chuo chochote hapa ulimwenguni..cha kushangaza selection zlvotoka nkawa nimepata udsm,IAA,na Udom lakini mzumbe wakawa wamenipga chini,wel nkaconfirm zangu kwenda udsm lakini nkiwa na huzuni kwan chaguo langu lilikua mzumbe na wao wamenpga chini,kufika udsm na nilipozoea shule..nkaanza kufanya comparisons kati ya udsm na mzumbe nione wapi pana shule ya ukweli,nkaja kugundua kwamba mzumbe wanahitaji miaka takribani 50 ili kufikia nusu ya mafanikio ilyonayo udsm..sasa nkawa najiuliza zile mbwembwe nlzokua nazkia kuhusu mzumbe zlikua ni za nin?baadae tcu wakashka rungu la kupangia wa2 vyuo,ndo siisikii tena hyo mzumbe kabisa,cjui imefia wapi vile,nimebaki kuckia madogo wakikimbilia kuaply udsm,sua,udom,ifm na muhimbili..cjui wamegundua mchezo gani mchafu unaochezwa huko mzumbe hadi hawakishobokei tena kama enzi ze2...

Analysis za kijinga kama hizi ndizo zinaonyesha namna wasomi wetu walivyo majitaka,sasa umeandika nini hapo? Tuache hii tabia ya kuleta thread zisizo na kichwa wala mkia hapa JF....Kwani Mzumbe ikiwa inahitaji miaka 50 kuifikia UDSM inachangia nini kwenye maendeleo ya elimu hapa nchini? Tuwe na akili kidogo jamani..kwa analysis kama hii umekishushia heshima chuo kikuu cha dsm....
 
Mkuu hata mimi nimemwambia,kama ndio wasomi wa UDSM wako hivi basi UDSM imekwisha kabisa na kubakia jina tu...Hajui kujenga hoja,hana mtiririko mzuri ili mradi kaandika tu.....
Kwa hii kauli hapa juu,
Mimi naona na wewe una analysis za kijinga. Yaani mtu mmoja ndio akufanye utuone sisi wanachuo wote wa udsm hatuna hadhi?

Kumbuka ulimwambia Senetor

Analysis za kijinga kama hizi ndizo zinaonyesha namna wasomi wetu walivyo majitaka,sasa umeandika nini hapo? Tuache hii tabia ya kuleta thread zisizo na kichwa wala mkia hapa JF....Kwani Mzumbe ikiwa inahitaji miaka 50 kuifikia UDSM inachangia nini kwenye maendeleo ya elimu hapa nchini? Tuwe na akili kidogo jamani..kwa analysis kama hii umekishushia heshima chuo kikuu cha dsm....

sasa naona na wewe, unajishushia hadhi, Senetor ni Senetor, na alivyo yeye ni yeye, na sio wanachuo wa udsm wapo kama Senetor, kila mtu yupo kivyake. Wewe changia mada, sio kuhukumu tu watu na chuo kizima.
 
Nakumbuka mwaka 2009 wakati ndo nimemalza 4m 6,mzumbe university walikua wanaringa kuchukua wanafunzi 2naotegemea Heslb na badala yake wakawa wanachukua wa2 wenye dv 3 wengi kwa kigezo cha kwamba wao ni private sponsered.kiukwel mwenyewe wakati niko secondary nlikua na ndoto za kusoma mzumbe cku moja kutokana na sifa kem kemu nlzokuaga nazckia zikikitangaza hcho chuo,bac ikatoe muda wa kufanya application ulvofka,nkaaply udsm,mzumbe,IAA na udom,Matokeo yangu hayakuwa mabaya sana kiac cha kunifanya nikose chuo chochote hapa ulimwenguni..cha kushangaza selection zlvotoka nkawa nimepata udsm,IAA,na Udom lakini mzumbe wakawa wamenipga chini,wel nkaconfirm zangu kwenda udsm lakini nkiwa na huzuni kwan chaguo langu lilikua mzumbe na wao wamenpga chini,kufika udsm na nilipozoea shule..nkaanza kufanya comparisons kati ya udsm na mzumbe nione wapi pana shule ya ukweli,nkaja kugundua kwamba mzumbe wanahitaji miaka takribani 50 ili kufikia nusu ya mafanikio ilyonayo udsm..sasa nkawa najiuliza zile mbwembwe nlzokua nazkia kuhusu mzumbe zlikua ni za nin?baadae tcu wakashka rungu la kupangia wa2 vyuo,ndo siisikii tena hyo mzumbe kabisa,cjui imefia wapi vile,nimebaki kuckia madogo wakikimbilia kuaply udsm,sua,udom,ifm na muhimbili..cjui wamegundua mchezo gani mchafu unaochezwa huko mzumbe hadi hawakishobokei tena kama enzi ze2...[/QUOT

Kijana hili ni Jukwaa la Great Thinkers, unapopost vitu jaribu kuwa na dalili za utafiti kidogo vinginevyo ulitakiwa ukayaongelee vijijini uliko mtaji wa Magamba siyo kwa watu makini km humu. Kwa kukusaidia haijawahi kuwa na kigezo kama hicho ulichokisema. Siku zote wanaangalia compitive certificates,Mzumbe kuna baadhi ya kozi kama BAF zina ushindani mkubwa koliko chuo chochote hapa nchini. Kama huamini kaulizewanaojua watakusaidia.

Kwa taarifa yako kuna Kozi nyingine zinazotolwa Mzumbe ajira zake hazisumbui, kuna wanafunzi wanatoka tu Mzumbe na Kwenda kwenye ajira moja kwa moja. Kama utaendelea na mawazo kama haya ya mkosaji wataokuja kukuomba ushaur watakua wamepotea kama wanaotegemea maisha bora kuletwa na Magamba.
 
humu kwenye hili jukwaa kuna baadhi ya watu huwa tabia zao sio nzuri, hasa hasa tabia ya kusifia chuo flani mtu anachosoma,,, huwezi kujua mtu anapenda chuo flani kwa sababu zipi, let me give u a simple example.

Mimi niliapply vyuo, na nikapata udsm coet - civil n structural engineering, na pia nikapata ardhi - architecture, pia nilipata na st. Joseph - civil engineering, lakini, my heart waz in architecture, soo nikapiga chini udsm na st. Joseph nikaenda ardhi.

Watu wengi sana waliniona mjinga, but it helps nothing, nimemaliza chuo, kazi nimepata, na ninaenjoy what i am doing, sasa je kama ningeenda udsm kisa jina, leo nisingekua naperform kazini, coz ningesoma kitu ambacho sikipendi, lakini nafuata tu jina la chuo.

So plizzz my fellow jf memberz, stop judging chuo kama chuo, kila mtu ana sababu zake za kwenda kusoma chuo fulani kwa malengo fulani,, its not a time ya kuanza kupondana vyuo, eti waliosoma chuo flani ni vilaza,,, huyo huyo unaemuita kilaza, pamoja na chuo alichotokea anakuja kua boss wako kazini, utajisikiaje????,
 
Senetor Nakumbuka mwaka 2009 wakati ndo nimemalza 4m 6,mzumbe university walikua wanaringa kuchukua wanafunzi 2naotegemea Heslb na badala yake wakawa wanachukua wa2 wenye dv 3 wengi kwa kigezo cha kwamba wao ni private sponsered.kiukwel mwenyewe wakati niko secondary nlikua na ndoto za kusoma mzumbe cku moja kutokana na sifa kem kemu nlzokuaga nazckia zikikitangaza hcho chuo,bac ikatoe muda wa kufanya application ulvofka,nkaaply udsm,mzumbe,IAA na udom,Matokeo yangu hayakuwa mabaya sana kiac cha kunifanya nikose chuo chochote hapa ulimwenguni..cha kushangaza selection zlvotoka nkawa nimepata udsm,IAA,na Udom lakini mzumbe wakawa wamenipga chini,wel nkaconfirm zangu kwenda udsm lakini nkiwa na huzuni kwan chaguo langu lilikua mzumbe na wao wamenpga chini,kufika udsm na nilipozoea shule..nkaanza kufanya comparisons kati ya udsm na mzumbe nione wapi pana shule ya ukweli,nkaja kugundua kwamba mzumbe wanahitaji miaka takribani 50 ili kufikia nusu ya mafanikio ilyonayo udsm..sasa nkawa najiuliza zile mbwembwe nlzokua nazkia kuhusu mzumbe zlikua ni za nin?baadae tcu wakashka rungu la kupangia wa2 vyuo,ndo siisikii tena hyo mzumbe kabisa,cjui imefia wapi vile,nimebaki kuckia madogo wakikimbilia kuaply udsm,sua,udom,ifm na muhimbili..cjui wamegundua mchezo gani mchafu unaochezwa huko mzumbe hadi hawakishobokei tena kama enzi ze2.....

Dogo hujaacha tu tabia ya kulinganisha vyuo?. Nikiingia hili jukwaa topic zako nyingi ni kulinganisha vyuo tu.... na bado ndo uko chuo unaona hapo ulipo ndo bora. Watu wangekuwa wanatoa majina ya vyuo walivyosoma hapa jukwaani mbona vyuo vyote hapa TZ vipo chini sana kwa ubora? Wewe komaa tu umalize shule yako uingie mtaani na siyo kulinganisha UDSM Vs Mzumbe, SUA, IFM, IAA, nk. Na wewe siyo bora sana kuliko hao wanaosoma hivyo vyuo vingine, kila mtu ana sababu yake inayomfanya akasome chuo kile anachokipenda. Na ambao hawakusoma/hawasomi UDSM siyo vilaza kama wewe unavyodhani. Njoo mtaani huku hizo mbwembwe zako zitaisha....

Senetor maliza kwanza shule then karibu mtaani uone, endelea kujiona bora tu, wengi tu walikuwa na kelele kama zako

nina imani kitaa kutakuonesha kwamba Elimu ni uwezo sio cheti...
 
Kwa hii kauli hapa juu,
Mimi naona na wewe una analysis za kijinga. Yaani mtu mmoja ndio akufanye utuone sisi wanachuo wote wa udsm hatuna hadhi?

Kumbuka ulimwambia Senetor

sasa naona na wewe, unajishushia hadhi, Senetor ni Senetor, na alivyo yeye ni yeye, na sio wanachuo wa udsm wapo kama Senetor, kila mtu yupo kivyake. Wewe changia mada, sio kuhukumu tu watu na chuo kizima.

Mwambio huyo! Asiwe anaropoka ropoka tu bila mpangilio wa kihesabu! Mana anatushusha hadhi hadi sisi wanafunzi wa hapa kibaha sec tunaotegemea kwenda udsm next year.
 
Back
Top Bottom