Hivi mzee wa tukutane site ndio kashamaliza hadaa zake?

Mzee_londo

Member
Dec 5, 2018
46
99
Mzee aliyetaka kupitiwa na upepo wa kisulisuli kwa kutowajibika kwenye maswali ya msingi kama job description yake inavyotaka afanye na kukurupukia mambo ambayo hayana msingi wowote wa ustawi wa jiji la biashara bali manufaa yake binafsi kisiasa.

Baada ya almanusura ya Group admin kumleftisha, kijana alianza kampeni ya kulala site na camera, nilitaka kufahamu je ile miradi Coco, Kisutu, machinjio na stendi ameisusa tena naona karudi kule kule kwenye masinema.

Nilikuwa nasubiri pia kuona maandamano ya kwenda kwa mzee wa mitaa.
 
Back
Top Bottom