Hivi Mzee Hashim Rungwe Sipunda bado yupo kwenye siasa?

Status
Not open for further replies.

Kijana Jr

JF-Expert Member
May 12, 2016
560
838
Habari binafsi sio shabiki mkubwa sana wa maswala ya siasa kuna baadhi ya wanasiasa kwa hapa Tanzania ambao hata nikipewa nafasi ya kuonana nao na kuhoji katika harakati zao za siasa mtu wa kwanza kabisa ni mzee wangu huyu hashimu rungwe

nukuu "Kura zangu mwaka 2015 kwenye uchaguzi wa Rais ziliibiwa , haiwezekani nipate kura 2000, halafu naletewa kura 200, hiyo sifuri moja imemezwa?" - Hashim Rungwe huyu mzee nje ya siasa ni comedian mzurii sana
 
Hashim rungwe spunda
tapatalk_1504633779584.jpeg
 
Habari binafsi sio shabiki mkubwa sana wa maswala ya siasa kuna baadhi ya wanasiasa kwa hapa Tanzania ambao hata nikipewa nafasi ya kuonana nao na kuhoji katika harakati zao za siasa mtu wa kwanza kabisa ni mzee wangu huyu hashimu rungwe

nukuu "Kura zangu mwaka 2015 kwenye uchaguzi wa Rais ziliibiwa , haiwezekani nipate kura 2000, halafu naletewa kura 200, hiyo sifuri moja imemezwa?" - Hashim Rungwe huyu mzee nje ya siasa ni comedian mzurii sana
Anasubiri tu wakati wa uchaguzi asindikizwe na mkewe kuchukua fomu ya kugombea uraisi akichukua atajinasibu(kujipromo)kuwa yeye ni wakili mahiri(anatangaza biashara ya uwakili) halafu ataitisha mkutano na waandishi wa habari na kuanza kupiga blah balah za kisiasa na mwisho anamalizia kwa kusema anajitoa kwa kuwa anaona uchaguzi utakuwa sio wa haki blah blah basi huyo hadi uchaguzi mwingine,wanachama wa chama (VICOBA )chake ni yeye na mke wake halafu yeye ndie mmiliki,raisi,mwenyekiti,mwekahazina,mjumbe n.k halafu eti nae anadai demokrasia wakati mwenyewe hana demokrasia kwenye VICOBA yake
 
Anamaisha mazuri ana push range rover na Noah yake moja hivi new model kiufupi hana njaa
 
Tungemshibisha angefunga mdomo angetununulia dreamline za kumwagilia nchi nzima raisi mtarajiwa kung'ata na kupuliza hashimu
 
Habari binafsi sio shabiki mkubwa sana wa maswala ya siasa kuna baadhi ya wanasiasa kwa hapa Tanzania ambao hata nikipewa nafasi ya kuonana nao na kuhoji katika harakati zao za siasa mtu wa kwanza kabisa ni mzee wangu huyu hashimu rungwe

nukuu "Kura zangu mwaka 2015 kwenye uchaguzi wa Rais ziliibiwa , haiwezekani nipate kura 2000, halafu naletewa kura 200, hiyo sifuri moja imemezwa?" - Hashim Rungwe huyu mzee nje ya siasa ni comedian mzurii sana
Rungwe ni mwanasheria mkubwa na wiki iliyopita alikwenda kumjulia hali Tundu Lissu huko ulaya, kumuita comedian ni kumvunjia heshima kwani uwezo wake ni mkubwa kiasi hawezi kukuajiri wewe kuwa shambaboi wake.
 
Mkuu namfaham vizuri sana mzee wangu hashimu rungwe nimtu mwenye kujiweza vizuri tu ila maneno yake speach zake lazima utabasam tu heshima hipi niliyo mvunjia comedian ni kazi kama kazi nyingine nakuna watu wanapiga pesa zaidi kwa kazi hii ya comedian kipaji ni bora kuliko elimu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom