Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,054
- 24,440
Jamii forum inawatumiaji wengi kuliko Twitter TZ hilo ni kundi chache sana la watu wasiojitambua na sio watz wengi wana hasira,
JPM is the choosen 1 tutakuja kukili akimaliza muda wake
Unaweza kuleta takwimu kuwa jf ina watumiaji wengi kuliko Twitter kwa hapa Tz?
Jf ina wanachama waliosajiliwa around 550K, na wengine wana multiple Id!
Meko kwa mfano kule twitter ana followers zaidi ya 900K na zaidi ya 85% ni watz!
Japo wapo wengine wanatumia Jf bila kujisajili vile vile wapo watu wanaotumia twitter na wala hawana habari na Jf!
Sasa hebu leta takwimu zisizo na mashaka kuwa pengine kwa siku jf inatembelewa zaidi na watz kuliko twitter, au uthibitisho mwingine kuwa jf inaongoza kwa watumiaji wengi kuliko twitter!