Hivi mwisho wa matukio bongo huwa ni nini???

Wakuligo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
259
105
1. Escrow account
2. Ndoa ya Vicky kamata
3. Sakata Flora Mbasha na mmewe
4. Joka la arusha
5. Mh Komba na totoz

Au kuna mtu anaratibu matukio kwamba kabla halijaisha moja basi jingine lunalipika??
Kweli bongo ni kitovu cha majanga..
 
1. Escrow account
2. Ndoa ya Vicky kamata
3. Sakata Flora Mbasha na mmewe
4. Joka la arusha
5. Mh Komba na totozu

Au kuna mtu anaratibu matukio kwamba kabla halijaisha moja basi jingine lunalipika??
Kweli bongo ni kitovu cha majanga..


Wameongeza nyingine hii hapa:

Topic:-Gari la matangazo la harusi ya Joshua Nassari lamgonga mwendesha bodaboda

20:26 Yesterday-

Wadau, gari la matangazo ya harusi la mbunge wa Arumeru Mashariki bwana Joshua Nassari limemgonga mwendesha bodaboda jioni hii maeneo ya kwa Aloyce karibu na Meru Garden na kumsabishia umauti hapo hapo.
 
Ooops!! Balaa gani nassari anapata??
Harufu, ya kapuya sijui hata iliishia wapi aisee...nchii ni ya matukio mwanzo mwisho!!
 
Back
Top Bottom