Wakuu naona Chadema inaendelea kudhoofika. Mwenyekiti wake amekuwa dhaifu sana. Siku hizi kauli ya kwanza inatoka kwa Lowassa na siyo Mbowe tena. Mbowe amekuwa mnyonge. Mpole kabisa. Sijui amelishwa nini. Hata hivyo inaonyesha anamtetemekea na kumuogopa Lowassa.
Kauli ya Lowassa ndiyo imekuwa kauli ya chama.
Yaani kuanzia ubongo mkuu wa chadema ( Dr.Slaa ) ujiondoe chamani imekuwa shida tu.
Kweli naamini Dr. Slaa akisaidiana na Zitto walikuwa viungo muhimu sana kwa Chadema.