Haki sawa ndo alipeWakuu naomba kuwauliza,hvi mwanaume unapokua na galfriend wako then mkaenda kugegedana lodge,mwenye wajibu wa kulipia gharama za lodge ni nani kati ya mwanaume au mwanamke?
Mmmh!!!!!!!
Khaaa!!!!kwani ulijipeleka tu pale lodge au ulimpeleka??
Wanaume wa siku hizi wanapenda kulipiwa haoo
Rudi kwenu sio lazima muingie humu anataka dudu bure tu
Inategemea mpo nae vip
Basi una hela za mawazo. Hujui starehe gharama?Wakuu naomba kuwauliza,hvi mwanaume unapokua na galfriend wako then mkaenda kugegedana lodge,mwenye wajibu wa kulipia gharama za lodge ni nani kati ya mwanaume au mwanamke?
Kwani hiyo 'dudu' unauzaje?
Wakuu naomba kuwauliza,hvi mwanaume unapokua na galfriend wako then mkaenda kugegedana lodge,mwenye wajibu wa kulipia gharama za lodge ni nani kati ya mwanaume au mwanamke?
Hela ndogo tu m.6 tu teh teh!na hatulali wote
Hela ndogo tu m.6 tu teh teh!na hatulali wote
Fadhili Paulo likes this!Kama mnapendana na SIYO 'one night stand' ni busara mwanadada naye akalipa hasa kama mkaka hana pesa.
Ni mazoea tu ila ukweli hata mwanamke anaruhusiwa kuhonga kupata huduma tajwa kwani naye hupata starehe.
Nitarudi.
Wakuu naomba kuwauliza,hvi mwanaume unapokua na galfriend wako then mkaenda kugegedana lodge,mwenye wajibu wa kulipia gharama za lodge ni nani kati ya mwanaume au mwanamke?