Hivi mwenye wajibu wa kulipia gharama za lodge ni mwanaume pekee?

Status
Not open for further replies.
Me and my curiosity hahaha. Natni nijue kwanza why unauliza lol. Umechiwa bill?
 
Khaaa!!!!kwani ulijipeleka tu pale lodge au ulimpeleka??
Wanaume wa siku hizi wanapenda kulipiwa haoo
Rudi kwenuu sio lazima muingie humu anataka dudu bure tu

Inategemea mpo nae vip
 
Kama mnapendana na SIYO 'one night stand' ni busara mwanadada naye akalipa hasa kama mkaka hana pesa.

Ni mazoea tu ila ukweli hata mwanamke anaruhusiwa kuhonga kupata huduma tajwa kwani naye hupata starehe.

Nitarudi.
 
Inategemea na galofrendi wako na kipato chake, na inategmea na galo mwenyewe kama ni wale wale wa kununua basi wew lipa tu mwenyewe sindo umemualika kwenye keja
 
Wakuu naomba kuwauliza,hvi mwanaume unapokua na galfriend wako then mkaenda kugegedana lodge,mwenye wajibu wa kulipia gharama za lodge ni nani kati ya mwanaume au mwanamke?
Basi una hela za mawazo. Hujui starehe gharama?
 
Wakuu naomba kuwauliza,hvi mwanaume unapokua na galfriend wako then mkaenda kugegedana lodge,mwenye wajibu wa kulipia gharama za lodge ni nani kati ya mwanaume au mwanamke?

matatizo ya kwenda chimbo na vihela vya nyanya hayo
 
Kama demu wangu akionyesha amebanwa sana (na genye) basi kulipia kutamuhusu that day, maana nitamwambia nimeuwawa so ndo hivyo!!
 
Hakuna mwenye haki ya kulipia ila ni maeelewano ya nyie tu kwamba ni nanai alipie hizo ghalama ila mwanamke ndio unatakiwa kulipia ili uonyeshe haki sawa kama wanavyosema haki sawa kwa wote
Wakuu naomba kuwauliza,hvi mwanaume unapokua na galfriend wako then mkaenda kugegedana lodge,mwenye wajibu wa kulipia gharama za lodge ni nani kati ya mwanaume au mwanamke?
 
Status
Not open for further replies.
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom