structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 907
Natumbua kuwa barabara ambazo mabasi ya mwendo kasi yatazitumia hazijanza kutumika "officially". Hata hivyo kwakuwa maderava wakati mwingine wanachomekea huko ili kukwepa foleni, naminikajiulizaswali moja kuu.
Barabara hizi ni nyembamba sana kiasi kwmamba gari haiwezi kuovateki. Na mbaya zaidi ni kuwa hata mbele kukiwa na mwendesha baiskeli bado kumpita ni kwa shida kweli. Sasa swali la msingi, Hivi mabasi ya mwendo kasi yakianza na ikatokea kuwa basi limepata hitilafu likiwa njiani itakuwaje kuhusu basi zingine kupita? Je foleni yake itatatuliwaje? na je inamaana hili hawkuliona au?