Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,562
- 188,754
Upendo kutoka ni imagination katika hii dunia hamna hicho kitu.
Hakikisha ana akili na upendo kwa familia mengine ni ziada.
Hakikisha ana akili na upendo kwa familia mengine ni ziada.
Ila Dunia hii ina mengi sana.Assume mm ni mwanaume, niko fresh kimuonekano, nina kazi, sijaoa, sina mtoto, nina miaka 33, hlf namtaka binti mwenye miaka 20, huyo binti anaweza ku-fall kimapenzi na mm? Huyo binti hatonichukulia mm kama babu yake au mtu mzima sana kwake? Hivyo kuwekwa kwenye category ya sponsor?
Nitaweza kushindana na vijana wa kiume wa rika lake wenye umri wa miaka 23? 24?
Naelewa mwanaume hata in your 30's unaeza pata binti Mwenye miaka 20 kwa ajili ya mahusiano, nnachouliza mm ni kuwa binti wa miaka 20 anaweza mpenda mwanaume mwenye miaka 30 toka moyoni? Bila kumpendea hela huyo mwanaume?
Wadada na wakaka wenye uzoefu wa haya mambo naomba mnijibu..
Braza age ni number tu.Assume mm ni mwanaume, niko fresh kimuonekano, nina kazi, sijaoa, sina mtoto, nina miaka 33, hlf namtaka binti mwenye miaka 20, huyo binti anaweza ku-fall kimapenzi na mm? Huyo binti hatonichukulia mm kama babu yake au mtu mzima sana kwake? Hivyo kuwekwa kwenye category ya sponsor?
Nitaweza kushindana na vijana wa kiume wa rika lake wenye umri wa miaka 23? 24?
Naelewa mwanaume hata in your 30's unaeza pata binti Mwenye miaka 20 kwa ajili ya mahusiano, nnachouliza mm ni kuwa binti wa miaka 20 anaweza mpenda mwanaume mwenye miaka 30 toka moyoni? Bila kumpendea hela huyo mwanaume?
Wadada na wakaka wenye uzoefu wa haya mambo naomba mnijibu..
Ipo sawa kwa Sasa Ila akizeeka ndiyo atajua haipo sawa.Mbona huyo mpo sawa na huenda akakuzidi akili?
Hiyo gape iko sawa kabisa.
Mbona wazee wazaman walikuwa wanaoa, wanawake walio wazidi miaka kumi, mwanamke Una takiwa umzid miaka 10 maana wao Wana wahi kuzeeka mapema, mfano ukiwaona wanawake uliomaliza nao shule ya msingi utajiona wewe mdogo kwao Yaani utadhani mama zako wadogoMm mke wangu namzidi 12 yeye kazaliwa 1997 na mm 1985, lakini mapenzi ni ya moto moto yaani nampenda lakini pia namdekeza.Nayeye ananipenda na kikubwa zaidi ananiheshimu sana anajua napenda nini na ninachukia nini.Hata yeye sipendi kumuuzi mambo ambayo hapendi sipendi kumfanyia.
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Mmmm mbona mingi Sanaa au mshikaji ana pesaa nyingii?Akiwa kwenye early 20's pasipo kujali tofauti yenu ya miaka hapo pagumu sababu kiakili bado mchanga Sana, ila akianza kuichungulia 30 hata ukiwa unamzidi kwa miaka 20 mtaishi poa tu, mimi wangu ananizidi 16 yrs
Nakazia tu, Amuulize Mengi na yule waziri aliyefariki miezi miwili tu toka aoeWe tafuta hela tu, hata ukimzidi
miaka 900 utapendwa mpaka ujikinai
Hujiamini?Tafuta mashauri wa masuala ya mahusiano anaweza akukupa mwanga. Age is just a number.Assume mm ni mwanaume, niko fresh kimuonekano, nina kazi, sijaoa, sina mtoto, nina miaka 33, hlf namtaka binti mwenye miaka 20, huyo binti anaweza ku-fall kimapenzi na mm? Huyo binti hatonichukulia mm kama babu yake au mtu mzima sana kwake? Hivyo kuwekwa kwenye category ya sponsor?