Hivi mwanaume unaweza kupata mapenzi ya kweli endapo umemzidi mwanamke miaka 13?

Masoktz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
2,389
2,000
Mimi nina mke mdogo ambaye tumepishana miaka 10 aisee ni boadi sana kuwa na mwanamke ambae umemzidi umri miaka mingi unakua km unaishi na mdogo wake au mwanao hana changamoto yoyote yaani yeye ni kumuamrisha tu
Inategemea bana.
 
Tinsley

JF-Expert Member
Nov 16, 2020
457
1,000
Mm mke wangu namzidi 12 yeye kazaliwa 1997 na mm 1985, lakini mapenzi ni ya moto moto yaani nampenda lakini pia namdekeza.Nayeye ananipenda na kikubwa zaidi ananiheshimu sana anajua napenda nini na ninachukia nini.Hata yeye sipendi kumuuzi mambo ambayo hapendi sipendi kumfanyia.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Aww
Love is a beautiful thing
 
Biboz

JF-Expert Member
Jun 4, 2019
251
250
Assume mm ni mwanaume, niko fresh kimuonekano, nina kazi, sijaoa, sina mtoto, nina miaka 33, hlf namtaka binti mwenye miaka 20, huyo binti anaweza ku-fall kimapenzi na mm? Huyo binti hatonichukulia mm kama babu yake au mtu mzima sana kwake? Hivyo kuwekwa kwenye category ya sponsor?

Nitaweza kushindana na vijana wa kiume wa rika lake wenye umri wa miaka 23? 24?

Naelewa mwanaume hata in your 30's unaeza pata binti Mwenye miaka 20 kwa ajili ya mahusiano, nnachouliza mm ni kuwa binti wa miaka 20 anaweza mpenda mwanaume mwenye miaka 30 toka moyoni? Bila kumpendea hela huyo mwanaume?

Wadada na wakaka wenye uzoefu wa haya mambo naomba mnijibu..
Pesa pesa pesa! Hata ungewa umemzidi miaka 40, ila kama huna unapoteza muda...
 
humility21

JF-Expert Member
Jan 8, 2021
374
1,000
Mkuu hiyo age difference sio kubwa. Unapata kabisa Mapenzi ya kweli. Waangalie Majizo na Lulu, japo hivi sasa Lulu ni above 25yrs.
 
Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
10,407
2,000
Assume mm ni mwanaume, niko fresh kimuonekano, nina kazi, sijaoa, sina mtoto, nina miaka 33, hlf namtaka binti mwenye miaka 20, huyo binti anaweza ku-fall kimapenzi na mm? Huyo binti hatonichukulia mm kama babu yake au mtu mzima sana kwake? Hivyo kuwekwa kwenye category ya sponsor?

Nitaweza kushindana na vijana wa kiume wa rika lake wenye umri wa miaka 23? 24?

Naelewa mwanaume hata in your 30's unaeza pata binti Mwenye miaka 20 kwa ajili ya mahusiano, nnachouliza mm ni kuwa binti wa miaka 20 anaweza mpenda mwanaume mwenye miaka 30 toka moyoni? Bila kumpendea hela huyo mwanaume?

Wadada na wakaka wenye uzoefu wa haya mambo naomba mnijibu..
Ungekuwa unaelewa akili za hawa viumbe zipoje wala usingewaza.

Ukikaa nae huyo miezi sita ataanza kukuona dogo mwenzake, na utaona anaanza mazoea na watu age zaidi yako yaani 45+ huko. Kiuhalisia wanawake huwa hawanaga specific age limit ya mwanaume wa kudate nao.

Anaweza date na mtu alie mgape hata miaka 20 na akawa comfortable kabisa sababu wao muhimu ni kupata mahitaji yao muonekano wa mwanaume itategemea na mood yake kwa wakati huo.
 
Ilisolokobwe

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
1,804
2,000
Kuna mzee mmoja hapa mtaani miaka 68, mke 43 mke amempenda kijana miaka 45 mzee ameshtukia mchezo imekuwa kimbembe mzee amesala sana nasubiri nione hii movie itaishaje maana imefika patamu sana
 
KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
16,422
2,000
Vijana wanapenda sana kujipa stress.....yaani miaka 33 ndio unajiona mzee....wakati ndio kijana wa kiume unaanza kukomaa kiakili na akili kuanza kuutawala mwili wako na sio hisia tena.......

Mitazamo ya watu kwenye jamii inawaharibu kabisa vijana wasio kuwa na akili zao........
 
Principle girl

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
1,001
2,000
Ndiyo anafall inlove vizuri tu it depend on how you can handle and treat her..age is just a number!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom