HIvi Mwanaume bila ya Mwanamke ni Mchafu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HIvi Mwanaume bila ya Mwanamke ni Mchafu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rapunzel, Aug 22, 2012.

 1. Rapunzel

  Rapunzel JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,089
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Habari zenu wapenzi,
  Hivi juzijuzi nilienda kumtembelea rafiki yangu yeye ni mwanaume nieleweke ni rafiki nilikuta mazingira ya nyumba yake ndani ni chafu balaa tofauti anavyoonekana kwa nnje alivyo smart ,kumuhuliza inakuwaje mbona nyumba kama jalala?
  Akanijibuc unajua wifi yako hayupo? sina muda wa kuisafisha, kha! kwa hiyo mwanaume bila ya mwanamke ni mchafu? pic2.jpg
  Hapa huwa anajisomea

  pic1.jpg Bedroom hiyo
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  sio kila mtu
  but majority yes ndo hivyo...
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  mwanamme bila mwanamke ni kama 'unpolished stone' au 'unpolished Diamond'

  akipata mwanamke kazi yake ni kufanya 'polishing' tu

  japo si wote, kuna wanamme wasafi sana kwa asili tena kuliko hata baadhi wa wanawake.
   
 4. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Kwani hawana hausigeli? Mbali ya mwanamke kufanywa kisingizio cha usafi lakini si excuse ya kuishi kama nguruwe. Kama inavyojulikana ni aibu na udhaifu kwa mwanamke kuwa mchafu i think same applies kwa mwanaume. Mwambie ajirekebishe
   
 5. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Eti Kongosho mwanaume akiwa anayejipenda sana na pia ni msafi uwaga anakuwa na walakini mahali fulani?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  halafu hiyo nyumba ndo chafu?
  huzijui nyumba chafu aisee
   
 7. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  mzaire huyo, duuh! nje anawaka, ndani kwake hapafai kwa uchafu!
   
 8. Kambaku

  Kambaku JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,986
  Likes Received: 2,902
  Trophy Points: 280
  Wewe ulienda chumbani kwake kufanya nini wewe mtoto?

  Hata hivyo mbona sio pachafu hapo? Sana sana labda kiti ndio kimechanika tu:behindsofa:
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  hata akiwa na nyumba safi lakini yeye mwenyewe unamkuta katoka kama kachumbari.

  Shati la njano, suruali nyekundu ya kitambaa, tai kijani, viatu zambarau.

  Hajapaka mafuta usoni, kachana nywele ile mistari ya kitana inaonekana kichwani.

  Kama ana ndevu kaziacha kama bob marley mradi tu ameoga yeye imetosha.

   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  wale wa mlengo wa magharibi nao tunawajua tu mile mia nane.

  Sio wa aina hiyo pia.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  ila mtoa mada, kama umetoa picha halisi za nyumba ya huyo mtu utakuwa hujamtendea haki.

  Ndio maana mie sipendi anakuja kwangu na kupiga piga picha, yaani nakugaya for good.
   
 12. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  inawezekana kweli ukaingia chumbani kwa mwanaume ambae ni rafiki yako wa kawaida tu?unafuata nini wakati kuna sebule,study room n.k!
   
 13. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mbona hiyo safi ? ungeona kwangu........
   
 14. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Uchafu ni tabia ya mtu. Kuna wanaume wachafu kadhalika wanawake wachafu. Unaweza kwenda kwenye nyumba ya mwanaume aliyeoa ukashindwa kunywa hata maji. Hivyo huo uchafu ulioona si matokeo ya mwanamme kuwa singo bali tabia yake. Mbona baba yenu mie kabla ya kuoa nilikuwa msafi sana? Nakumbuka shuleni na jeshini tukifundishwa kutandika vitanda na kuwa mardadi ukiachia mbali kufundishwa nyumbani.
   
 15. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kwa jinsi humo ndni palivyo tunaweza kusema ni pasafi ukifananisha na jinsi wengi wetu tulivyo. Lakini pia napingana na jamaa ametoa justification ya kuwa skani pamekuwa pachafu kwaajili ya mwanamke wake hayupo, kwani yeye mwenye we anashindwa kujua kwamba yupo alone na anatakiwa awe vipi. Sitaki kuamini vile vile hiyo kitu ni kwa kila mwanaume.


  ..............Ila na wewe kiboko lol!! yaani kumtembelea rafiki yako ndo uzame hadi bedroom? ina maana seating room palikuwa hapakutoshi? Ni kitu gani kilikufanya ukaanza kufotoa fotoa ndani kwa mwenzio au weye ni fotogirafa we mdada??
   
 16. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Umenikosha kwakweli, simpatii picha. Utanashati na usafi ni tofauti?
   
 17. The last don

  The last don JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 573
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Natumai baada ya hapo bidada uliduu ze nidful.....:spy:
   
 18. Rapunzel

  Rapunzel JF-Expert Member

  #18
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,089
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Agree or not agree with me asilimia kubwa wanaume wengi ni wachafu kimtindo but co wote kama ulivyomaanisha
   
 19. Rapunzel

  Rapunzel JF-Expert Member

  #19
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,089
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  His my best boy friend
   
 20. Rapunzel

  Rapunzel JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,089
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ..............Ila na wewe kiboko lol!! yaani kumtembelea rafiki yako ndo uzame hadi bedroom? ina maana seating room palikuwa hapakutoshi? Ni kitu gani kilikufanya ukaanza kufotoa fotoa ndani kwa mwenzio au weye ni fotogirafa we mdada??[/QUOTE]
  Kisa cha kuingia hadi chumbani ni utafutaji wa remote hakujua ameiwaka wapi kwa jinsi vitu vilivyokuwa shaghala bagala
   
Loading...