Hivi mwanasheria /wakili huwa nao wanakuwa na wanasheria wao?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,795
Yaani kwa mfano mtu kama wakili@kibatala nguli wa sheria (mwanasheia )au RUMANYIKA afanye kosa ambalo atapandishwa mahakamani au mwanasheria yule hivi nao labda washtakiwe je?

Nao huwa wanakuwa na mwanasheria wao ?kama tunavyoona labda kiongozi fulani akipandishwa kizimbani huwa tunaona anaweka mwanasheria wake.je!na hao wanasheria hivi nao wana wanasheria wao?
 
Nyaga Mawala-Advocate(Aliyekua boss wa Mawalla Advocates) alivyofariki wosia wake ulikua kwa wanasheria wake Wawili Lawrence Masha&Fatma Karume.

So jibu linaweza kupatikana kwny Scenario hapo juu.
 
Nyaga Mawala-Advocate(Aliyekua boss wa Mawalla Advocates) alivyofariki wosia wake ulikua kwa wanasheria wake Wawili Lawrence Masha&Fatma Karume.

So jibu linaweza kupatikana kwny Scenario hapo juu.
Wanazidiana uwezo
 
Ukiwaza hivyo, ni kama umejitoa ufahamu, kwani doctor pia haitahitaji doctor mwenzake kumpa huduma ya kitabibu, tunategemeana ndugu
 
Ukiwaza hivyo, ni kama umejitoa ufahamu, kwani doctor pia haitahitaji doctor mwenzake kumpa huduma ya kitabibu, tunategemeana ndugu
Nieleweshe sana ndio maana nikauliza.
Kwa hiyo mwanasheria mkuu wa serikaki nae ana mwanasheria wake.
 
Huwezi ukafanya kazi zote wewe mwenyewe na kuna kuzidiana uwezo, hata accountants anahitaji accountants
 
Huwezi ukafanya kazi zote wewe mwenyewe na kuna kuzidiana uwezo, hata accountants anahitaji accountants
Ahaa. Sasa kwa mfano nguli wa sheria kama labda kibatala akiwa na mwanasheria wake ina maana huyo mwanasheria anatakiwa awe zaidi ya mteja wake au inakuwaje.na kama ni hivyo sasa inakuwaje hafahamiki umaarufu kama mhusika sasa
 
Back
Top Bottom