Hivi mwanamke anaweza kulewa pombe kiasi cha kulala na mwanaume bila yeye kujua?

masara

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,738
2,279
Kwanza nianze kwa kusema mimi sio mnywaji wala mlevi wa pombe ila ndani kwangu nina wine na whisky kwa ajili ya NAHUJA siku akija kunitembelea.

Jana katika story na dada mmoja rafiki yangu akawa ananimbia jinsi wiki jana alivyonunuliwa box la henken na bosi wao na kuamua kunywea nyumbani kwake akiwa na rafiki yake wa kike. Baada ya kunywa sana pale kwake aliamua kwenda kwa mpenzi wake mida ya saa saba usiku na kwa vile alikuwa kalewa sana yule mpenzi wake akamuogezea tena kama moja na yule rafiki yake.

Cha ajabu huyu dada ananiambia kuwa kuna mambo aliyafanya na anaambiwa asubuhi hajui hata moja lakini cha kushangaza anasema alipoamka amka usiku kabla ya kupambazuka ndio akashangaa mbona yuko pale na imetokea nini hadi akalala pale.

Katika kuuliza anasema hata alivyovua nguo hajui na hajui kama jamaa alifanya naye mapenzi hadi alipomuambia kuwa alifanya na alionesha ushirikiano mzuri sana. Sasa nikawaza kumbe kuna wanawake wengi wanalala na wanaume bila ridhaa yao kwa kile kinachoitwa kutoka out na kampani. Maana mnaweza toka na mtu kama NAHUJA mkawa pale maeneo ya SINAI (MWANZA) halafu mkamchukua kupeleka kupumzika maeneo ya guest za mabatini barabarani halafu ukaondoka saa kumi kabla pombe hazijamuisha na akashituka amefikje hapo na amelala na GuDume bila hata yeye kujua.

Lakini kama yuko mtu mwenye shuhuda ni vizuri atuambie ilikuwa na alijihisi vipi pale alipogundua ametembea na mtu ambaye hata hakupanga kutembea naye.

Lakini kutembea na mtu bila kujua je, akiomba mechi rasmi unaweza mpa mpambano wa hiari maana tayari mmeshaanza?

NAHUJA NAHUJA
 
Back
Top Bottom