HIVI MWANAMKE ANATAKA NINI ZAIDI, PESA , ULINZI AU MAPENZI MOTO MOTO ..

Chrix_Tz

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
880
1,098
Heri ya Xmass wadau wa JF....
SWALI: Sasa mimi nauliza kwa nini wasichana wengi wanapenda wanaume wenye pesa hata kama wana uwezo wa kupata pesa pia. Kwa nini wasijiamini nao kama wanaume na kufikiria kuwa pesa siyo jambo la maana sana kama unampenda mwenzio?
 
Naona pesa imetake place sana kuliko vingine mkuu.... Kwanini hasa hata kama wao pia wana uwezo wa kutafuta pesa hii imekaaje hasa? Au ndio wanalenga zaidi maslah
Khantwe
 
Ndomana ukimwi na usaliti unatumaliza, upande wapili umegoma kubadilika kifikra...kidonda chakudumu kimekua uti wamgongo kwawezetu...
Heri ya Xmass wadau wa JF?!!

Back
Top Bottom